NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Hii show aliyopiga jide leo sijaona kama kuna msanii anaweza bongo kufanya,manake anaperform non stop afu live,wengine hua wanaishia kushika map..mbu tu.Big up jide

Na ile ya tunaimba wote si ndio? Piga makofi... Mikono juu
 
Wewe jamaa ungekuwa wa kike ingebidi uolewe na Kiba tu.
Unamfuatilia sana aisee,usisikie katajwa ushajaa!
Hahahaha kumbe ni wa kiume,
Nusu nimwambie kaka Kiba achukue jiko.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hamna bhana kwenye taarifa ya habari nilimuona akipiga picha na wachezaji wa yanga pale uwanja wa ndege ntake radhi nifah
Radhi ya nini?Katika huu Uzi umemtaja Mara ngapi?
#SecretAdmirer
 
Humu ndani hakuna mapedesheee mbona hawaendi kumwaga mapesa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mbeaaaaa!
Nimekuvulia kofia!
Mbea mwenzio nishakuelewa.
Ila nae Si nasikia 'yumo'?
ngoja tumalizie show kwanza kwa komando wetu maana saa hz tunamtuma njiwa kupeleka salamu ila anapumz huyu super women jd
 
Back
Top Bottom