Si ndio Le Mutuz jamani au usingizi unaninyemelea?yahaya a.k.a baba swaleh
Hii show aliyopiga jide leo sijaona kama kuna msanii anaweza bongo kufanya,manake anaperform non stop afu live,wengine hua wanaishia kushika map..mbu tu.Big up jide
Hahahaha kumbe ni wa kiume,Wewe jamaa ungekuwa wa kike ingebidi uolewe na Kiba tu.
Unamfuatilia sana aisee,usisikie katajwa ushajaa!
Radhi ya nini?Katika huu Uzi umemtaja Mara ngapi?Hamna bhana kwenye taarifa ya habari nilimuona akipiga picha na wachezaji wa yanga pale uwanja wa ndege ntake radhi nifah
Hahaha..umepatia mkuu,yaani mpaka wanaboa.We cheki jide ameimba nyimbo zaidi ya 20 mpaka sasa non stop,bongo hakunaga kama jideNa ile ya tunaimba wote si ndio? Piga makofi... Mikono juu
Huyuu mama atawatoa mapafuu wale wa wafu FM
Asante,bora umeona wewe!Hahahaha kumbe ni wa kiume,
Nusu nimwambie kaka Kiba achukue jiko.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja tumalizie show kwanza kwa komando wetu maana saa hz tunamtuma njiwa kupeleka salamu ila anapumz huyu super women jd[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mbeaaaaa!
Nimekuvulia kofia!
Mbea mwenzio nishakuelewa.
Ila nae Si nasikia 'yumo'?
Jideeeeee wapeeee vitu ukimaliza tumekuandalia zawadi huku tupo na kitwanga full shangwe ashakata ticketi ya shabiby arudi dsm
Wamefanya hujuma ibume lkn wapi,naona ukumbi umejaa mpaka unatema.Kasha wachomoa kitambo
Yeah,yuko strong sanangoja tumalizie show kwanza kwa komando wetu maana saa hz tunamtuma njiwa kupeleka salamu ila anapumz huyu super women jd
Wameona hii,wameanza kutunza.Humu ndani hakuna mapedesheee mbona hawaendi kumwaga mapesa
Wamefanya hujuma ibume lkn wapi,naona ukumbi umejaa mpaka unatema.