NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Kwasasa habari iliyopo ni ndi ndi ndi yaan amebreak the social media
 
Kuna nyimbo alienda mnyanyua rama dee aisee
Hawa wasanii wetu wa hapo vipiiii
Piga makofii
Hawamuwezi mama komando
Sema Tanzania hatupendi mziki tunangalia mwanamziki
Ndo maana MTU anauliza abali za maunoo
Yaani unamfanamisha chura na komando si dhalau hilo
 
Huyu Jide ndio haolewi tena huyu. Nani atakubali kuimbwa hivi?
 
waueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanabd wajue kutofautisha msanii mwenye kipaji na msanii mfanyabiashara hana kipajii wewe jide unakipajiiiii mpaka shetan anafurahia kipaj chako
 
Mimi napenda shows smart kama hizi!
Hiyo miuno kama wendawazimu inafaa kwenye vigodoro zaidi.
Chura ahusike japo kidogo mama japo kwa sasa naanza kumuuelewa upo sehemu gan mm tucheze ndi ndi ndi
 
Endeleeni jmn kutuhabarisha na c waulimwengu wa saba tufarijike mana no live no tv hpa jf tu ndo kipozeo!!!!comandoo!!!ndi ndi ndi!!!
 
Ukimkaataa jide yaani
Unamtaka shishi
Vanesa
Chura
Lina
Pls pls tuwe serious tuumpe naye sanam au mtaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…