NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Huyo kapigwa ban na matusi yake. Hii JF ya sasa hivi Ni very strickly, usipokuwa mstaarabu inapigwa ban mpaka PC yako

maskini!! tutaumis ubuyu wake original
 
Mkuu heshima kitu cha bure, sisi wanaume wazima na korodani zetu unatuambia utakuwa na wifi yetu? Tuombe samahani kabla hatujaharibu sherehe ya watu.

Nimetengua kauli mkuu.
 
"Naamka tena concert" - hii kitu ina maana sana, ukiifikiria kwa mapana!
 
naona wimbo wetu wa ndi ndi ndi unapigwa mara tatu tatu Friday night live Eatv now , channel 5 wapo live mliman city wadau fuatilieni
 
Nimeshamkatia ticket wife, mimi siendi kwa sababu siyo mshabiki wa matamasha ya namna hiyo.

Jihadhali kuchapiwa, bora mngejilalia tu home au nawe unakamchepuko nini?

Anyway huyo mwanga anayedai kuwa Tamasha litakosa watu kwakuwa yeye, mkewe, shangaziye na mjombaye hawaendi kwenye show hiyo, mwambie tu kirahisi...

Jiji la Dareslaam linaidadi kubwa ya watu wazima wenye akili timamu kuliko ukoo wake wote na koo za majirani na rafiki zake..!!!

#Aache kuwa na roho za kichawi

BACK TANGANYIKA
 
Huu uzi hadi muda huu hamna hata picha! Updates gani hii au jamaa kalala?
 
hii nguo alovaa jide ukimuangalia maramoja unaeza ukasema yuko naked
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…