Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Tehmaskini!! tutaumis ubuyu wake original
Mkuu heshima kitu cha bure, sisi wanaume wazima na korodani zetu unatuambia utakuwa na wifi yetu? Tuombe samahani kabla hatujaharibu sherehe ya watu.
Msalimie Miriam hapo Catalunya.. Tutamtembelea soonMi nitapiga zangu kilaji pale Katalunya, ikiisha namchukuwa wife tunaondoka zetu.
Nimeshamkatia ticket wife, mimi siendi kwa sababu siyo mshabiki wa matamasha ya namna hiyo.
Ndio nani huyo?Msanii asiye na mbwembwe kibongobongo ni Fid Q tu.
Amsha amsha hakuna labda kuna wasanii wengine watampa tafuShow ya kawaiida ,ukumbi wakawaiida wabongo live band bado sana
Nb. staki mapovu tafadhali
Amsha amsha hakuna labda kuna wasanii wengine watampa tafu
Watu wamejitokeza kumsapotiDuuu huyu mdada anajua sana...amepata support kubwa sana...hakika anapendwa!