NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

anakwambia ulizani mm shuga mumy lako siwema usinipe gonjwa la moyo....
 
Teja wa mapenzi .....hahahaaa jide... Anaonyesha mapenzi kwa nguvu ya uma.. Twende
 
Huyu mdada anapendwa haya ni mafuriko Mlimani city....
 
nimekuwaaaa tejaaaa la mapenziiii ila sio kwa Gardner marioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…