Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee gita na vinanda + drams ni hatari...Mi naisikilizia gitaa tu hapa. Live band raha sana..
hahaha eti sura kama tofali!! jide kampa kijembe gadner live
hahahaaaa..ww jamaa ulivyokazia maarifa ya madongo umenichekesha gafla!hahaha eti sura kama tofali!! jide kampa kijembe gadner live
Atakuwa ameshapiga KITWANGA mbili tatuBibi anajitahidi kujichangamsha
HatariiiAisee gita na vinanda + drams ni hatari...
Bibi anajitahidi kujichangamsha
Hajiitambui tu. Jide alipaswa kuwa malkia wa Africa kwa sasa. Hata kina Yemi Alade wangekuwa wanasubiri.
hadi mzee wa oversize kaenda unafanya mchezo ww na jide
Mhhh nini sasa kilichomkwamisha? Na hata hivyo hajachelewa bado gemu iko open hiiHajiitambui tu. Jide alipaswa kuwa malkia wa Africa kwa sasa. Hata kina Yemi Alade wangekuwa wanasubiri.
Naona kaenda kubadilisha nguo
Ndo nani mkuu... Au babu naniluu
bado tu jide hajapanda ishaanza kukera
nilijua katelekeza show BTW naifaidi show hii kupitia eatv ila kama vile sauti hainiridhishi!Kapendeza saaana.....fashiooooniiii hiyo