mhuni
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 955
- 592
kabadilisha kweliNaona kaenda kubadilisha nguo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabadilisha kweliNaona kaenda kubadilisha nguo
Kashapiiga virobanilijua katelekeza show BTW naifaidi show hii kupitia eatv ila kama vile sauti hainiridhishi!
nilijua katelekeza show BTW naifaidi show hii kupitia eatv ila kama vile sauti hainiridhishi!
Nitakuwa naye wife wako nikimliwaza mkuu, akizima simu naomba usilie, huu mchezo hautaji ghadhabuNimeshamkatia ticket wife, mimi siendi kwa sababu siyo mshabiki wa matamasha ya namna hiyo.
karud mkuu kaa chonjo sasa
Daaaah tuko sawa mkuu,hadi nimetamani ningekuwa nao hapa niusikilize.daaaa wanok nok mandojo na domokaya kanikumbusha mbali sna daaaaaaaa
Tunasikilizia kwanza guitar na drums.
Jideeee sema suala la kucheza ni mtihani kwa dada
tukapmwe kwa lipiHv ambao hamjamuelewa huyu dada mpaka sasa mkaungane na Kitwana tu muomboleze
Jideeee sema suala la kucheza ni mtihani kwa dada
Mandojo na Domokaya, vile vichwa vilikua ni hatari tupu!! hiyo ngoma ya wanok nok inanikumbusha sana mbali man, nilichoka kuisikilizia kweny radio nikaamua kununua album yao kabisa!! nimewamis sana wale machalii!!daaaa wanok nok mandojo na domokaya kanikumbusha mbali sna daaaaaaaa
Angalia tu asije kukutana na shabiki mwenzake huko,alaf wakashabikiana.just kiddin mkuuNimeshamkatia ticket wife, mimi siendi kwa sababu siyo mshabiki wa matamasha ya namna hiyo.