NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

mkuu hivi vichwa hatar tumevipoteza nawakubali sna hawa mi ngoma yao ya dingi ile ngoma haina mfano mzee akimaliza kula sifuria anazitia msumali
Dingi ilikua bonge la ngoma man!! wale wajamaa nilikua sichoki kusikiliza nyimbo zao., yaan wamepotea na vipaji vyao!!
 
Wanawake wakiamua kushikana ni hatari!...naona syra za pesa tu ukumbini then imejaa nyomi!

Wamemuunga mkono sana jide nae hajawaangusha! Nimependa mziki wa loveband, tatizo ni mafundi mitambo wa eatv! ila ukumbini sauti imeshiba
 
Rama dee ni fundi wa rnb bongo sema sijui kwanini hapata heshima anayostahili


mkuu rama dee ni fund sio mzaha nahis ile harakat ya vinega ilimtoa mchezon wote vinega hawajaamka tena
 
mkuu rama dee ni fund sio mzaha nahis ile harakat ya vinega ilimtoa mchezon wote vinega hawajaamka tena
We si unaona hapo hakuna hata anayethubutu kupanda hapo na kumpa japo support msanii mwenzake.Ukipanda tu MAWINGU wamekudelete.
 
Back
Top Bottom