Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubir bodaboda festivalHili tukio la kuonyesha magari kazaman na kisasa siko tayar kulikosa.
Mwenye taarifa kamili ni wapi na lini anijuze. Nimepata taarifa robo.
Je, unaleta ndinga gani? Umemiss ndinga gani? Ya kale au kisasa?
Mzee angalia watu watakuibia idea, hii hela chief kimasikhara utashangaa baada ya miaka kuna mtu kaandaa tamasha hiliNasubir bodaboda festival
Kwa sisi Ngumbaru Idea zipo nyingi chiefMzee angalia watu watakuibia idea, hii hela chief kimasikhara utashangaa baada ya miaka kuna mtu kaandaa tamasha hili
Kwa huku si mara ya KwanzaWadau naona mnaniadhibu kwa kuleta bandiko lenye matobo.
UTETEZI: nilikuwa naangalia clouds tv ya pj nikaona mdau anaelezea ndinga festival ambapo kutakuwepo na maonyesho ya magari yasiyo ya kawaida ya kale na ya kisasa. Tukumbuke ni matukio yanayotokea huko nje mara kadhaa. Kwa huku ni mara ya kwanza.
Pia tujue watakuwepo wanunuz wa magari ya kazaman huko nje kwa bei kubwa hadi mil 100( kama babu amelipak shamban jua umekalia uchumi)
Tatizo sikujua ni lini na wapi.
Mtandaon sion kitu. Na humu jf ndo kuna kila kitu!
Bas mwenye nyama ajazie.
Haa. Mkuu uwe unajiotesha mambo makubwa makubwa ili hata ukifeli uwe kwenye ndani ya kufanikiwa!Nasubir bodaboda festival
Hakika Bro. Juhudi muhimuHaa. Mkuu uwe unajiotesha mambo makubwa makubwa ili hata ukifeli uwe kwenye ndani ya kufanikiwa!
Fikiria ujikalishe kwenye boda boda utaishia phoenix.
Ukiona unataman. Ukitaman unadhamiria. Ukidhamiria unatia juhudi. Ukitia juhudi na uthubutu unapata.
Uzuri hakuna anayezaliwa na kimemo cha kupata au kukosa
Likiwa in good condition value inaongezeka mkuu tofauti na likiwa mkweche ngondiHuitaj kutiamo gharama. Kama lina uasilia wake hiyo ni hela. Wanapimp wao nje. Lakin lisiwe hadi ndan kilishaota kichuguu.