Ndinga festival lini?

Ndinga festival lini?

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Hili tukio la kuonyesha magari kazaman na kisasa siko tayar kulikosa.
Mwenye taarifa kamili ni wapi na lini anijuze. Nimepata taarifa robo.
Je, unaleta ndinga gani? Umemiss ndinga gani? Ya kale au kisasa?
 
Wadau naona mnaniadhibu kwa kuleta bandiko lenye matobo.
UTETEZI: nilikuwa naangalia clouds tv ya pj nikaona mdau anaelezea ndinga festival ambapo kutakuwepo na maonyesho ya magari yasiyo ya kawaida ya kale na ya kisasa. Tukumbuke ni matukio yanayotokea huko nje mara kadhaa. Kwa huku ni mara ya kwanza.
Pia tujue watakuwepo wanunuz wa magari ya kazaman huko nje kwa bei kubwa hadi mil 100( kama babu amelipak shamban jua umekalia uchumi)
Tatizo sikujua ni lini na wapi.
Mtandaon sion kitu. Na humu jf ndo kuna kila kitu!
Bas mwenye nyama ajazie.
 
Kwenye DStv kuna channel inaitwa DISCOVERY FAMILY huwa kuna show nyingi zinaoneshwa za magari ya kizamani na minada ya magari hayo ya miaka 1930 -1980's
 
Hili tukio la kuonyesha magari kazaman na kisasa siko tayar kulikosa.
Mwenye taarifa kamili ni wapi na lini anijuze. Nimepata taarifa robo.
Je, unaleta ndinga gani? Umemiss ndinga gani? Ya kale au kisasa?
Nasubir bodaboda festival
 
Wadau naona mnaniadhibu kwa kuleta bandiko lenye matobo.
UTETEZI: nilikuwa naangalia clouds tv ya pj nikaona mdau anaelezea ndinga festival ambapo kutakuwepo na maonyesho ya magari yasiyo ya kawaida ya kale na ya kisasa. Tukumbuke ni matukio yanayotokea huko nje mara kadhaa. Kwa huku ni mara ya kwanza.
Pia tujue watakuwepo wanunuz wa magari ya kazaman huko nje kwa bei kubwa hadi mil 100( kama babu amelipak shamban jua umekalia uchumi)
Tatizo sikujua ni lini na wapi.
Mtandaon sion kitu. Na humu jf ndo kuna kila kitu!
Bas mwenye nyama ajazie.
Kwa huku si mara ya Kwanza
 
Nasubir bodaboda festival
Haa. Mkuu uwe unajiotesha mambo makubwa makubwa ili hata ukifeli uwe kwenye ndani ya kufanikiwa!
Fikiria ujikalishe kwenye boda boda utaishia phoenix.
Ukiona unataman. Ukitaman unadhamiria. Ukidhamiria unatia juhudi. Ukitia juhudi na uthubutu unapata.
Uzuri hakuna anayezaliwa na kimemo cha kupata au kukosa
 
Hakika Bro. Juhudi muhimu
 
Huitaj kutiamo gharama. Kama lina uasilia wake hiyo ni hela. Wanapimp wao nje. Lakin lisiwe hadi ndan kilishaota kichuguu.
Likiwa in good condition value inaongezeka mkuu tofauti na likiwa mkweche ngondi
 
Back
Top Bottom