joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
HIvi wewe ndugu yangu unaangaliaga hata vipindi vya kupimp magari,sasa ngoja nikwambie star time kuna channel moja hivi wanapimp magari vile utakavyo ww,kuna majamaa wawili mmoja ana degree ya Electrical Engineering mwengine Mechanical Engineering,ukienda pale unawaelezea ww unataka gari liweje,labda watakuchorea michoro unachagua.Sasa kuna tajiri mmoja wa kiengereza kaibadilisha rolls rorce mpya (thamani yake ni kama $250,000),kuanzia muonekano wake mpaka suspension system kwa ajili tu ya kuwindia,ila huku kwenu hivi vitu vigeni ndio maana ww unashangaa.Alafu mtu kama anauwezo wakununua gari la milion 350 ,warrant ndio itamzuia asilibadili.Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.
Msitake kutulisha matango pori