Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Bora angechukua Range Rover Vogue, ina starlook
 
Binafsi kwa hapa bongo sijaona watu wanao refurbish magari kama CAPITAL ZONE. Hawa jamaa wanahusika na Landrover defender. Hao ttr mi naona wanapimp tu.

Capitalzone wana hatari
 
Ya kawaida sana hiyo,huwezi kulinganisha na ile alionunua ex-wife wake wa S.Africa..
 
Angenunua hata mnyama Vogue sport la 2018 yule mnyama ndo amekaa kisanii zaidi ila sio mby ile ndiga ya kibunge nayo matata pia
 
Binafsi kwa hapa bongo sijaona watu wanao refurbish magari kama CAPITAL ZONE. Hawa jamaa wanahusika na Landrover defender. Hao ttr mi naona wanapimp tu.

Capitalzone wana hatari
Ndio kule alikopeleka magari ya polisi Bashite?
 
Bele9,na Ben po cjui nn walikosea
Walitoka na huyu dogo mwaka
Mmoja 20010

Huyu dogo mganga wake kweli
Co wa bongo

Mkuu una travel machine nini?mwaka 20010 duuh !!
 
NonSense,Promo za Kijinga hao mambwiga wa hiyo Garage wanatumia,Domo alituambia analeta Rolls Royce mpaka leo haijafika,huu mwaka wa pili unaelekea kukatika.
wenye team zao " watakuita haters....ila ninekuoenda bure ..maana unewaza nje ya box ...tofauti na wachañgiaji wengine ambao akili zao zimekubali kuwa bongo lala""
 
Watu wanaendesha New model[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Life s not Fair
 
Wabongo Tujifunze kupongeza.
Khaaa!! hata angenunua Bajaji tumpongeze kijana wetu ...hivi UsA wangekua hivi sijui ingekuwaje
Kwa wenzetu USA wanachukulia kama Inspiration ,kibongo bongo utasikia analinga,ila hapo apost FLoyd Maywether utasikia wanavyo msifia au labda sisi dunia ya tatu bado tuna mawazo ya kimasikini.
 
Kwa wenzetu USA wanachukulia kama Inspiration ,kibongo bongo utasikia analinga,ila hapo apost FLoyd Maywether utasikia wanavyo msifia au labda sisi dunia ya tatu bado tuna mawazo ya kimasikini.
Kwakweli hii ni kasumba tunayo sana.
Msanii yoyote asifanye jambo wsnaponda..lakini watu wa Nje wakifanya its okay na masifa kedekede.
Wanaponda mpaka saa zingine naumiaga mimi badala ya wao, WaTz tunachuki binafsi mno.
 
Ndio maana wenzetu wanakipindi cha MTV CRIBS kila superstar anaonyesha nyumba yake,magari nk,hii yote kwa ajili ya inspiration na kwa encourage watu wawe wachapakazi.Sisi huku mtu anafichaficha utafikiri muuza unga.
 
Back
Top Bottom