Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Gari hiyo ya kawaida tu. Akitaka aonekane mjanja ahame kwenye hizi Toyota model. Aende next level kama poscher Aston Martin and alike.

Sio mnatuletea magari wanayomiliki chinga kibao hapo kariakoo.
 
Acha ale maisha...
Ukiacha mapungufu ambayo kimsingi kila mwenye pumzi anayo, jamaa ana roho nzuri sana.
He deserves this, by the way muungurumo wa hicho chuma ni zaidi ya mvumo wa radi!
Ukiweka youtube views milioni fasta ndani ya 24hrs.
kwa ulivyokoment nimekuelewa japo inaonesha sio mshabiki wake wa mahaba niue umekubali kwa juhudi zake pamoja na mapungufu ya uanadamu
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
hao wenye magari wamezaliwa wameyakuta nyumbani mtoto wa masikini kama ww uwe nalo hilo hata kama hukuwahi fika kijinini kwenu miaka ishirini utataka ukalioneshe kenge chukizitakuua
 
Vipi na sie wazee wa TGS B tunahitaji tshs ngapi kununua ndinga km ilo
 
Sijapata kuona watu wajinga kama watanzania.....supposedly, hili gari la Diamond ila wasiojitambua wanapoteza muda wao kushangilia wakati haliwasaidii lolote maishani mwao. So sad kwa kweli.
ungekuwa wa maana ungesoma bila kuandika chochote umejiweka tofauti kumbe upo kundini
 
Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
mjanja anayetafuta ukiwa hujui kutafuta ww mshamba tu usijifariji humu
 
Bele9,na Ben po cjui nn walikosea
Walitoka na huyu dogo mwaka
Mmoja 20010

Huyu dogo mganga wake kweli
Co wa bongo
kamwambie imetoka 2009 harafu mnaweza mkazaliwa kwa mama mmoja mkatofautiana uwezo
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Acha wivu mkuu kwa maisha ya kitanzania gari ya 220m+ ni ya gharama kubwa, pi a katika mfano wako nikajua utasema wewe una magari kumbe ni watu wana magari ambacho kimsingi sio wewe...taja ulilo nalo wewe lenye kulizidi hilo gari basi
 
Angenunua hata mnyama Vogue sport la 2018 yule mnyama ndo amekaa kisanii zaidi ila sio mby ile ndiga ya kibunge nayo matata pia
halafu unajua kuwa cruiser na vogue za mwaka mmoja, cruiser bei zaidi?
sema vogue tamu
 
Ndio maana wenzetu wanakipindi cha MTV CRIBS kila superstar anaonyesha nyumba yake,magari nk,hii yote kwa ajili ya inspiration na kwa encourage watu wawe wachapakazi.Sisi huku mtu anafichaficha utafikiri muuza unga.
Ataachaje kujificha wakati kila anachofanya kinabezwa.. wakifungua maduka ooh duka gani kama stoo, wakifanya hivi tabu.
yani watu kutwa nzima ni kubeza tu..hawana jema..yani wanangoja ufanye wakuponde ,Sisi ni wachawi sana
 
Msanii aliefanikiwa bongo ni diamond tuu,hao wengne ni waganga njaa tuu ,
 
Back
Top Bottom