gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Yuko vizuri sana chibu hongera zake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo huwa nakata tamaa kabisa. Hasa ukiwa mtumishi wa umma. Unajiona kama unapoteza tu muda hapa duniani, unafanya kazi nyingi za watu usiku na mchana lakini maslahi kwa mwezi ni sawa na posho ya vikao vya siku mbili vya mbunge.Hahaaa sio mbali yani hawafiki hata robo ya uchumi wke
unataka kusema hiyo kampuni imeposti kutaka umaarufu etiKama kweli Nampa hongera...
Ni kijana wakuigwa mfano...
kwa ulivyokoment nimekuelewa japo inaonesha sio mshabiki wake wa mahaba niue umekubali kwa juhudi zake pamoja na mapungufu ya uanadamuAcha ale maisha...
Ukiacha mapungufu ambayo kimsingi kila mwenye pumzi anayo, jamaa ana roho nzuri sana.
He deserves this, by the way muungurumo wa hicho chuma ni zaidi ya mvumo wa radi!
Ukiweka youtube views milioni fasta ndani ya 24hrs.
hao wenye magari wamezaliwa wameyakuta nyumbani mtoto wa masikini kama ww uwe nalo hilo hata kama hukuwahi fika kijinini kwenu miaka ishirini utataka ukalioneshe kenge chukizitakuuaSasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
ungekuwa wa maana ungesoma bila kuandika chochote umejiweka tofauti kumbe upo kundiniSijapata kuona watu wajinga kama watanzania.....supposedly, hili gari la Diamond ila wasiojitambua wanapoteza muda wao kushangilia wakati haliwasaidii lolote maishani mwao. So sad kwa kweli.
mjanja anayetafuta ukiwa hujui kutafuta ww mshamba tu usijifariji humuNashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
kamwambie imetoka 2009 harafu mnaweza mkazaliwa kwa mama mmoja mkatofautiana uwezoBele9,na Ben po cjui nn walikosea
Walitoka na huyu dogo mwaka
Mmoja 20010
Huyu dogo mganga wake kweli
Co wa bongo
Acha wivu mkuu kwa maisha ya kitanzania gari ya 220m+ ni ya gharama kubwa, pi a katika mfano wako nikajua utasema wewe una magari kumbe ni watu wana magari ambacho kimsingi sio wewe...taja ulilo nalo wewe lenye kulizidi hilo gari basiSasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
halafu unajua kuwa cruiser na vogue za mwaka mmoja, cruiser bei zaidi?Angenunua hata mnyama Vogue sport la 2018 yule mnyama ndo amekaa kisanii zaidi ila sio mby ile ndiga ya kibunge nayo matata pia
wanazidi sasaWengi wanaoponda wanamiliki pum...bu,wana stress kuliko maelezo chibu kwa umri wke hakuna kijana mwenye uwezo wake labda awe karithi mali ya hom
Ataachaje kujificha wakati kila anachofanya kinabezwa.. wakifungua maduka ooh duka gani kama stoo, wakifanya hivi tabu.Ndio maana wenzetu wanakipindi cha MTV CRIBS kila superstar anaonyesha nyumba yake,magari nk,hii yote kwa ajili ya inspiration na kwa encourage watu wawe wachapakazi.Sisi huku mtu anafichaficha utafikiri muuza unga.
Amna siyo huko. Hao capital zone wapo Arusha. Bashite alipeleka KLM.Ndio kule alikopeleka magari ya polisi Bashite?