Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Mjomba G class bei gani?,hakuna waziri hata mmoja analo zaidi ya watoto wa bakhresa na ile ya mdama..hizo gari nigeria ndio ziko nyingi kwa wasanii wenye mkwanja plus kodi kwao sio kubwa kma kodi ya tz
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Mkuu achana na watu masikini kuna watu wanaendesha Mil 550 wapo kimya
 
Ya kawaida sana hiyo,huwezi kulinganisha na ile alionunua ex-wife wake wa S.Africa..
SA gari ni cheap plus kodi yao iko chini sana kwa raia wao,hapa kwetu ukiagiza gari kwa 100m jua kodi utalipa kati ya 100m mpka 130m yani kodi unanunua gari ingine kma hiyo,hii nchi sijui tumerogwa na ccm kwa kupigwa makodi ya kishetani
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Hahaaaa ndio raha ya jf...kila mtu Tajiri [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi private jet yangu hako ka mkokoteni ka diamond kanaingia mara 30
 
Model ya 2018?Big NO,wame-upgrade tu hio gari.

Though big up kwa bwana mdogo,anapambana sana kiukweli.
 
Kuna mtoto kwenye uzi flani alikuwa anapeana moyo na mwenzie wanunue Toyota Ractis eti kana speed zaidi ya Land Cruiser!..
Ila nilimkanya hatarudia kufananisha!.
Hahah yule dogo nilimuona aisee
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.

We jamaa ni kchwa maji... alaf acha dharau wakt huna kitu... ukiwa nacho lazima kionekane kama huna hakiwez kuonekana... hakuna mtu yoyote maarufu ambaye mali zake hazijulikani. Punguza ushamba..
 
Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Mbona kuna mastaa kibao tu wanaendesha Toyota Prius?! Mel Gibson na yeye miaka ya nyuma alikuwa na Toyota la hovyo kabisa... ckumbuki ni model ipi!

Bora ungesema Cruiser, kwa sababu, in my opinion, Cruiser imekaa kizee sana though the guy anaonekana ni mpenzi zaidi wa SUV kulinganisha na Sedan.
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Acha mapovu, tangazo la biashara hilo!!

Hiyo picha ipo kwenye account yake au kwenye account ya TTTR Autoupgrade?
 
Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.

Msitake kutulisha matango pori
Jomba, car pimping mbona jambo la kawaida kabisa?!
 
Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Aliyenunua gari ni hiyo ni Abdul Naseeb na Diamond Platnumz alisema anapenda Rolls Royce ...bila Shaka umeelewa pia ushamba kwa kitu fulani ni ujinga ambapo mtu huwa mwelevu baada ya kujifunza... Hongera japo baadhi hawapendi Lkn umepiga hatua....hata kama unaweza nunua gari kama hiyo au zaidi Lkn kwa bwana mdogo kama huyu anawatia moyo vijana wengi walioko mtaani kutokata tamaa na kuendelea kupambana
 
Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.

Msitake kutulisha matango pori
Mkuu hio ni wald edition kama waofahamu... 2018 io
 
Back
Top Bottom