tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Yule kaungaunga la 2008 hana hela ya kununua hilo hata angepewa mkopoNilimuona dogo moja mbunge analo km hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kaungaunga la 2008 hana hela ya kununua hilo hata angepewa mkopoNilimuona dogo moja mbunge analo km hilo
Kwa hiyo kijana anayejituma yupo mmoja tu ???Kabisa kijana anajituma sana
Mjomba G class bei gani?,hakuna waziri hata mmoja analo zaidi ya watoto wa bakhresa na ile ya mdama..hizo gari nigeria ndio ziko nyingi kwa wasanii wenye mkwanja plus kodi kwao sio kubwa kma kodi ya tzNashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Mkuu achana na watu masikini kuna watu wanaendesha Mil 550 wapo kimyaSasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
SA gari ni cheap plus kodi yao iko chini sana kwa raia wao,hapa kwetu ukiagiza gari kwa 100m jua kodi utalipa kati ya 100m mpka 130m yani kodi unanunua gari ingine kma hiyo,hii nchi sijui tumerogwa na ccm kwa kupigwa makodi ya kishetaniYa kawaida sana hiyo,huwezi kulinganisha na ile alionunua ex-wife wake wa S.Africa..
Toyota au japanese car ni rahisi kutengeneza cz halitumii umeme mwingi kma magari ya uk,germanyAngenunua hata mnyama Vogue sport la 2018 yule mnyama ndo amekaa kisanii zaidi ila sio mby ile ndiga ya kibunge nayo matata pia
Wengi wanaoponda wanamiliki pum...bu,wana stress kuliko maelezo chibu kwa umri wke hakuna kijana mwenye uwezo wake labda awe karithi mali ya homWabongo Tujifunze kupongeza.
Khaaa!! hata angenunua Bajaji tumpongeze kijana wetu ...hivi UsA wangekua hivi sijui ingekuwaje
Hahaaaa ndio raha ya jf...kila mtu Tajiri [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi private jet yangu hako ka mkokoteni ka diamond kanaingia mara 30Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Hahah yule dogo nilimuona aiseeKuna mtoto kwenye uzi flani alikuwa anapeana moyo na mwenzie wanunue Toyota Ractis eti kana speed zaidi ya Land Cruiser!..
Ila nilimkanya hatarudia kufananisha!.
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Mbona kuna mastaa kibao tu wanaendesha Toyota Prius?! Mel Gibson na yeye miaka ya nyuma alikuwa na Toyota la hovyo kabisa... ckumbuki ni model ipi!Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Acha mapovu, tangazo la biashara hilo!!Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Jomba, car pimping mbona jambo la kawaida kabisa?!Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.
Msitake kutulisha matango pori
Aliyenunua gari ni hiyo ni Abdul Naseeb na Diamond Platnumz alisema anapenda Rolls Royce ...bila Shaka umeelewa pia ushamba kwa kitu fulani ni ujinga ambapo mtu huwa mwelevu baada ya kujifunza... Hongera japo baadhi hawapendi Lkn umepiga hatua....hata kama unaweza nunua gari kama hiyo au zaidi Lkn kwa bwana mdogo kama huyu anawatia moyo vijana wengi walioko mtaani kutokata tamaa na kuendelea kupambanaNashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Hahaa ,life is not fair at all jamaa .watu wana 30+ lakini future yao ni ya mashaka .Dogo ana 29 tu, yupo mbali saana kiuchumi.Wengi wanaoponda wanamiliki pum...bu,wana stress kuliko maelezo chibu kwa umri wke hakuna kijana mwenye uwezo wake labda awe karithi mali ya hom
Hahaaa sio mbali yani hawafiki hata robo ya uchumi wkeHahaa ,life is not fair at all jamaa .watu wana 30+ lakini future yao ni ya mashaka .Dogo ana 29 tu, yupo mbali saana kiuchumi.
Mkuu hio ni wald edition kama waofahamu... 2018 ioMkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.
Msitake kutulisha matango pori