Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Hongera zake kwa kununua hiyo..lakini kwa hadhi yake ya u star [emoji294]️ ingemfaa zaidi Vogue sports
 
Hii imelembwa na zagato sio 2018 hats hivyo Ni mzuri Kama ya bashite
 
Usikute huyu lossoJR ni mtu mzima mwenye akili timamu, anaacha kujishughulisha na mambo yake anashupalia vya wengine. Wanaume wa Dar jamani, sijuwi nani kawalaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stress mbaya aisee. Why usipite kimya kimya
 
Ile Royce Rolls aliyosema mwaka ule imeishia wapi?!
 
Unakuta mtu anaponda wakati yeye hata mgongo wa chura hana
 
Jamaa analo kama hilo, sema hapendi show off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…