Kweli sana. Na anajua magari. Amenipa ideaswenye team zao " watakuita haters....ila ninekuoenda bure ..maana unewaza nje ya box ...tofauti na wachañgiaji wengine ambao akili zao zimekubali kuwa bongo lala""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stress mbaya aisee. Why usipite kimya kimya
Fisi MajiGari ya kawaida sana hiyo.
Hapo Hujalipa Ushuru Bado, Unazidi Hata Bei ya Kununulia *****dola 84315
Ukawaida wa kitu (kiuchumi) ni pale kitu hicho kinaonekana kwa wingi mtaani kama ilivyo IST na gari za aina hiyoGari ya kawaida sana hiyo.
Na Mungu amefanya makusudi maana angewapa ela watu wanaojiona wajanja wangeleta tabu humu mjini..mwisho wa siku kama mtu anaweza akaingiza mamilioni ya fedha huyo sio mshamba bali ni mjanja na ndio maana ameweza kutumia nguvu na akili zake kupata fedha na yule anaeonekana mjanja wa kujua vitu vizuri ambavyo hana uwezo navyo (huyo ndio mshamba japo wananzengo wanamwona mjanja)...Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
TTR kazi kubwa ni kufanya upgrade za gari za zamani kuwa mpya, kwa hiyo hayo mabati tuu gari ya zamaniNonSense,Promo za Kijinga hao mambwiga wa hiyo Garage wanatumia,Domo alituambia analeta Rolls Royce mpaka leo haijafika,huu mwaka wa pili unaelekea kukatika.
True gari mpya toyota inanunuliwa TOYOTA Tanzania Ltd, siyo TTRMkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.
Msitake kutulisha matango pori
Team diamond tayari limeshakua lenu hilo na familia zenuTeam kiba lazima mjiharishie mwaka huu
Mkuu hiyo ndio hulka ya wabongo, utasikia jamaa ana mawe yule usipime na akitokea mwingine akapiga hapo hata ngumi ziko nje njeSijapata kuona watu wajinga kama watanzania.....supposedly, hili gari la Diamond ila wasiojitambua wanapoteza muda wao kushangilia wakati haliwasaidii lolote maishani mwao. So sad kwa kweli.
Mkuu hiyo ndio hulka ya wabongo, utasikia jamaa ana mawe yule usipime na akitokea mwingine akapiga hapo hata ngumi ziko nje nje
Kibakuli ana mandinga mapya na makali kuliko hilo,sema hapendi show off za kijinga tu!
Yaani inasikitisha sana kwa kweliKwa kweli inasikitisha sana. Utakuta mtu yuko bize siku nzima kuongelea habari za wasanii na pengine kasahau kujihusisha na jukumu la kusaidia wazazi wake. Kuna siku Diamond alifanya sherehe ya kumtoa mtoto wake unaambiwa watu wasioalikwa walijazana nje kutizama na kuhesabu wasanii wanaoingia nyumbani kwa Diamond. Seriously, hivi mtu unashindwa kufanya la maana kweli kutizama wasanii wa Tanzania? This is very stupid tena hakuna mfano.