Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

wenye team zao " watakuita haters....ila ninekuoenda bure ..maana unewaza nje ya box ...tofauti na wachañgiaji wengine ambao akili zao zimekubali kuwa bongo lala""
Kweli sana. Na anajua magari. Amenipa ideas
 
Nashangaa wabongo hii forum ya celebrities.. tunadiscuss hawa watu ..jitu linatoka Nachingwea wanaume wa Dar???Gari la thamani ila umewahi kuona star yoyote mkubwa duniani anaendesha gari la Kijapan...hayo magari angewaachia wabunge...angetoka na G class 2018(Mercedes Benz) angemaliza anyway Siku zote pesa zinaenda kwa washamba
Na Mungu amefanya makusudi maana angewapa ela watu wanaojiona wajanja wangeleta tabu humu mjini..mwisho wa siku kama mtu anaweza akaingiza mamilioni ya fedha huyo sio mshamba bali ni mjanja na ndio maana ameweza kutumia nguvu na akili zake kupata fedha na yule anaeonekana mjanja wa kujua vitu vizuri ambavyo hana uwezo navyo (huyo ndio mshamba japo wananzengo wanamwona mjanja)...
 
Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.

Msitake kutulisha matango pori
True gari mpya toyota inanunuliwa TOYOTA Tanzania Ltd, siyo TTR
 
Sijapata kuona watu wajinga kama watanzania.....supposedly, hili gari la Diamond ila wasiojitambua wanapoteza muda wao kushangilia wakati haliwasaidii lolote maishani mwao. So sad kwa kweli.
Mkuu hiyo ndio hulka ya wabongo, utasikia jamaa ana mawe yule usipime na akitokea mwingine akapiga hapo hata ngumi ziko nje nje
 
Mkuu hiyo ndio hulka ya wabongo, utasikia jamaa ana mawe yule usipime na akitokea mwingine akapiga hapo hata ngumi ziko nje nje

Kwa kweli inasikitisha sana. Utakuta mtu yuko bize siku nzima kuongelea habari za wasanii na pengine kasahau kujihusisha na jukumu la kusaidia wazazi wake. Kuna siku Diamond alifanya sherehe ya kumtoa mtoto wake unaambiwa watu wasioalikwa walijazana nje kutizama na kuhesabu wasanii wanaoingia nyumbani kwa Diamond. Seriously, hivi mtu unashindwa kufanya la maana kweli kutizama wasanii wa Tanzania? This is very stupid tena hakuna mfano.
 
Yaani inasikitisha sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom