BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kweli kabisa!Sawa, naona anakuangalia huku akitabasamu wakati unampiga Picha!
Sawa tajiri.Tafuta maisha kwa uchungu mdogo wangu, umri unakwenda
Maneno ya mkosaji mwache ale bata...raha duniani raha jipe mwenyeweLakini mwisho wa Siku mavumbini atarudi
Wewe ni tajiri kumbe ..hongeraHabari za tajiri muulize masikini
Kwa wabunge wa chama kile walivyo na njaa unanunua wote na chama chao na lazima pesa ibakiHivi hiyo ndinga unanunua wabunge wangapi na madiwani wangapi?
Kumbe kwa ndinga tuu anaweza anzisha chama chake tz na kikawa tishio kwa fid q aka ngosha ze donKwa wabunge wa chama kile walivyo na njaa unanunua wote na chama chao na lazima pesa ibaki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] saafiManeno ya mkosaji mwache ale bata...raha duniani raha jipe mwenyewe
Tajiri haswaa. Tafuta zako pia acha kufuatilia maisha ya watu.Wewe ni tajiri kumbe ..hongera
zilitumika 10 ikabaki 5 kama chenji nazani itatosha na kuwachukua watoto wazuri mjini wote kwa miezi 6 hiviHivi hiyo ndinga unanunua wabunge wangapi na madiwani wangapi?
Mkuu ..avatar yako ulikua huko?!Mimi wazeya huwa nipo tofauti kidogo na migari yaani sionagi uzuri hasa wa hizi kitu. Gari ninazo penda ni Nissan tena nyeupe kama ya wale watu wasiojulikana na Toyota karibia aina zote.
Sawa tajiri. Umeifanyia nini tanzania tajiri ..umeajiri watu? Una foundation yoyote tungepende tuijue, watu wenye uhitaji na hali ya chini unawasaidia tajiri,,nini malengo yako ...unajiona uko wapi baada ya miaka 5...utajiri ulionao chanzo chake ni nini..uliupataje shirikisha watu wajue pengine unaweza kuwa inspire wawe tajiri kama wewe na kujitapa kwenye forumsTajiri haswaa. Tafuta zako pia acha kufuatilia maisha ya watu.