BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Rapper kutoka Canada, Drake ameonyesha kuwa yeye ni moja ya watu walio na love ya kutosha na magari kwa kuamua kuvuta ndinga nyingine ambayo gharama yake ni sawa na gharama ya kurudia uchaguzi kwa majimbo zaidi ya kumi nchini Tanzania.
Gharama ya ndinga hiyo aina ya ‘Ferrari LaFerrari kutoka kwa hitmaker wa ‘God's Plan’ ni kiasi cha shilingi bilioni 15 na ushee kwa pesa za kitanzania.
Gharama ya ndinga hiyo aina ya ‘Ferrari LaFerrari kutoka kwa hitmaker wa ‘God's Plan’ ni kiasi cha shilingi bilioni 15 na ushee kwa pesa za kitanzania.