BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
-
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23] wanataka asikie amenunua migari mikubwaa kwani yeye jumba? Gari unakuta ni kadogo ka saizi ila ulizia bei sasa ...unakuta ni mshahar wa mbongo wa miaka 10unadhani likiwa kubwa kama trekta ndo linakuwa la thamani???
Hahaha acha tu best ...muulize sasa mshahara wake..!Watu mna nyodooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
In your wildest dreams ahahaha ...pole sana hahahaahKwasasa naona Msuva yupo juu kiuchezaji kumzidi huyo mzubavu. Siku si nyingi anarejea Mbao Fc
Hahahaha poleYep! Mara kumi angenunua IST.
ENA M BONGO MWENYEWE SIYO MWALIMU.[emoji23][emoji23][emoji23] wanataka asikie amenunua migari mikubwaa kwani yeye jumba? Gari unakuta ni kadogo ka saizi ila ulizia bei sasa ...unakuta ni mshahar wa mbongo wa miaka 10
Unajua nlikua namsikiliza hapa papaa fere golla ngoma yake mpya ya mwaka jana ...anyway kiongozi wenzetu wako mbali sana...alipoumia alikua yuko kwenye uangalizi maalumu wa madaktari na mazoez makali kwaio sina shaka atarudi katika fomu muda mfup tu , and actually ameshapona na alicheza majuz kati hapaPoppa apunguze sana mipicha picha na kukesha mitandaoni badala yake akaze buti zaidi vinginevyo akifanya mzaha hapo Ubelgiji ndiyo itakuwa Kigoma / Mwisho yake Kimpira na baada ya muda mchache tutakuwa nae tu hapa ' down town ' Bongo.
Hahahaha mlitaka anunue lamborgini?Nlijua hiiView attachment 699105
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]=Nahodha.
Hard work pays
HahahaaThe new 2018 Lamborghini Aventador Roadster
HIZI NDO NDINGA MKUU
Nissan Murano new modelMoja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.
Samatta ni moja kati ya mastaa wa soka ambao hawapendi kuweka mali zao hadharani mara kwa mara lakini siku chache zilizopita amepost picha ya gari nyeupe ambayo inaelezwa ni ndinga yake mpya. Hongera kwake.
Shukran mshana ......wabongo bwana ...kuita tu ndinga mapovu kibao...aise uchawi unaanzaga hivi hivi ...hahaa...wabongo wnaataka uite "gari" ....sasa muulize yeye anatembelea gari gani....unakuta gari ya milion 5 ama 10 basi anajiona top of town ....hii.gari price yake kwa tsh ni milioni 70 ...actually ni mshahara wake wa miezi 2 tu ...kwa mbongo mwenye mapovu ni miaka 10 ma 20 kabisaNissan Murano new modelView attachment 699132
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shukran mshana ......wabongo bwana ...kuita tu ndinga mapovu kibao...aise uchawi unaanzaga hivi hivi ...hahaa...wabongo wnaataka uite "gari" ....sasa muulize yeye anatembelea gari gani....unakuta gari ya milion 5 ama 10 basi anajiona top of town ....hii.gari price yake kwa tsh ni milioni 70 ...actually ni mshahara wake wa miezi 2 tu ...kwa mbongo mwenye mapovu ni miaka 10 ma 20 kabisa