Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Sijui kwanini mzuka na TOYOTA umenitoka
Ali Kiba analo kama hilo sema apendi show off tu kama Samatta
Doh gari za yule nigga,Angeenda kwa money mywether jr akamvue moja. Money ni noma.
The new 2018 Lamborghini Aventador Roadster
HIZI NDO NDINGA MKUU
Itakua hujaendesha yenye engine hii chief.Sijui kwanini mzuka na TOYOTA umenitoka
Mimi ni fun wa engine kubwa kuanzia CC 2500 turbo charge 24cam...Itakua hujaendesha yenye engine hii chief.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Lakini show .off ya nywele kubadili rangi anafanya
Hapendi show off analala nalo Kitandani?Ali Kiba analo kama hilo sema apendi show off tu kama Samatta
Uchawi unaanzaga hivi hivi ! Wewe una miliki niniAkinunua Kama hii nakunya njia nzima kutoka Huku kwetu mtimbila ifakara hadi sokoni kariakoo daslamu
Kwa mwaka labdaThaman ya ilo gari
Ni mshahara wa waziri mmoja wa mambo nyeti
Labda.Umejuaje kuwa ni ya kwake? Yaani mtu kupiga picha karibu na gari tayari isha kuwa yake?
Uchawi unaanzaga hivi hivi ! Wewe una miliki nini