Ndinga Mpya ya Ommy Dimpozi

Show hafanyi biashara ya maana hana na kibaya zaidi mziki wake una legalega, pesa anatoa wapi huyu jamaa? Au analiwa KISHUBI?
 
Nilitaka kuuliza hili swali....kila siku tunaona wakina mond wanaswampa hadi bahrain na korea kupiga show ila huyu bingwa simuoni naona anakula matunda sijui kapanda wapi
Atuoneshe shemeji
 
Hivi huyu hua na safari zote zile hua habebi sembe kweli? Maana hamna muziki hapo.
Hadi nmekumbuka ile video ya ngwea madocta wakimtolea sembe tumboni.

By the way gari nzuri, hongera zake.
Huyu, mwanaFA,na edo kumwembe,nna mashaka nao sana.
 
Huyu, mwanaFA,na edo kumwembe,nna mashaka nao sana.

mwana fa ana bilioni ya tigo amelipwa ndio anakula nayo bata..

edo kumwembe anafanya kazi 3 zinazoonekana... supersport kama mtangazaji mpira kiswahili, mwanaspoti kama muandishi wa makala, sport pesa kama mchambuzi. so mishahara yote hiyo inampa bata.. omi dimpoz hata mimi simuelewi
 
Hii gari sio mpya, hii gari ni Used kutoka nje na na ilipotua bongo akaipeleka kwa TTTR Auto upgrade akaipimp ionekane mpya hata LandCrueser ya DIAMOND ilinunuliwa used kutoka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…