Ndinga Mpya ya Ommy Dimpozi

Ndinga Mpya ya Ommy Dimpozi

Show hafanyi biashara ya maana hana na kibaya zaidi mziki wake una legalega, pesa anatoa wapi huyu jamaa? Au analiwa KISHUBI?
 
Hivi huyu hua na safari zote zile hua habebi sembe kweli? Maana hamna muziki hapo.
Hadi nmekumbuka ile video ya ngwea madocta wakimtolea sembe tumboni.

By the way gari nzuri, hongera zake.
Huyu, mwanaFA,na edo kumwembe,nna mashaka nao sana.
 
Huyu, mwanaFA,na edo kumwembe,nna mashaka nao sana.

mwana fa ana bilioni ya tigo amelipwa ndio anakula nayo bata..

edo kumwembe anafanya kazi 3 zinazoonekana... supersport kama mtangazaji mpira kiswahili, mwanaspoti kama muandishi wa makala, sport pesa kama mchambuzi. so mishahara yote hiyo inampa bata.. omi dimpoz hata mimi simuelewi
 
IMG_5925.JPG


Sijaona alipoandika gari ni la kwake, me naona hapo amewatangazia biashara hao jamaa wapiga rangi
 
Hii gari sio mpya, hii gari ni Used kutoka nje na na ilipotua bongo akaipeleka kwa TTTR Auto upgrade akaipimp ionekane mpya hata LandCrueser ya DIAMOND ilinunuliwa used kutoka nje.
 
Back
Top Bottom