Kanisome vizuri mpenzi... sijasema kuwa ni wewe. Nimemshangaa tu kuwa na ugeni wake ameshakuwa mzoefu kukuzidi.
Hivi mimi na wewe tumeshatakiana heri ya mwaka mpya, in kind?
Usijali, kumbatio nimekuwekea. Utalitumia mpaka ukinai...Ooh niwie radhi babuu akili ya Kasie imeghafirika kidoogooo. Panapo majaaliwa wiki lijalo ntakuwa vyema.
Naomba nichukue nafasi hii kukutakia heri na fanaka ya mwaka mpya 2018.
Nimelikosa kumbato.......... basi tuu mola anajua.
Kasinde.
Usijali, kumbatio nimekuwekea. Utalitumia mpaka ukinai...
Heri ya mwaka mpya kwako pia.
Usisahau bado tunadaiana
Ruksa, Enenda na amani ya Bwana.Umekumbushia deni walau nimepata tabasamu.....
Pasinashaka dawa ya kudaiana ni kulipana, basi kwa wasaa huu niruhusu nirudi shimoni. Baadae wazeruzeru wanasema later.
Kasinde.
Ndio raha ya jf watu wale ID mpya kila siku
Au unajinsia zote?Habari zenu wadau
Mimi ndio nimejiunga na jukwaa msianze kuniuliza jinsia tukizoeana tutajuana vizuri huko mbele
mambo mtoto mzuri. mie naitwa funzadume ningependa kukujua Zaidi na Zaidikwani ndio tabia zenu nini kujipa majina ya kike
wewe una mambo weye!!!!nimeshakaribia
HahahahahaKaribu mtoto mtamu... Nipo hapa kwa ajili yako. Niko hapa kuzima kila aina ya kiu uliyo nayo... Jisikie upo chumbani kwangu.
Karibu mgeni, mwenyeji nipone.