Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Kanisome vizuri mpenzi... sijasema kuwa ni wewe. Nimemshangaa tu kuwa na ugeni wake ameshakuwa mzoefu kukuzidi.
Hivi mimi na wewe tumeshatakiana heri ya mwaka mpya, in kind?
Ooh niwie radhi babuu akili ya Kasie imeghafirika kidoogooo. Panapo majaaliwa wiki lijalo ntakuwa vyema.
Naomba nichukue nafasi hii kukutakia heri na fanaka ya mwaka mpya 2018.
Nimelikosa kumbato.......... basi tuu mola anajua.
Kasinde.