Ndio kwanza nimefika

Ndio kwanza nimefika

Kanisome vizuri mpenzi... sijasema kuwa ni wewe. Nimemshangaa tu kuwa na ugeni wake ameshakuwa mzoefu kukuzidi.

Hivi mimi na wewe tumeshatakiana heri ya mwaka mpya, in kind?

Ooh niwie radhi babuu akili ya Kasie imeghafirika kidoogooo. Panapo majaaliwa wiki lijalo ntakuwa vyema.

Naomba nichukue nafasi hii kukutakia heri na fanaka ya mwaka mpya 2018.

Nimelikosa kumbato.......... basi tuu mola anajua.

Kasinde.
 
Usijali, kumbatio nimekuwekea. Utalitumia mpaka ukinai...

Heri ya mwaka mpya kwako pia.

Usisahau bado tunadaiana
 
Umekumbushia deni walau nimepata tabasamu.....
Pasinashaka dawa ya kudaiana ni kulipana, basi kwa wasaa huu niruhusu nirudi shimoni. Baadae wazeruzeru wanasema later.

Ruksa, Enenda na amani ya Bwana.

Usitende tena dhambi
 
Back
Top Bottom