Ndio Lissu ni mbangaizaji. Lakini Mwalimu Nyerere aliwezaje kuiongoza TANU akiwa sio tajiri?

Ndio Lissu ni mbangaizaji. Lakini Mwalimu Nyerere aliwezaje kuiongoza TANU akiwa sio tajiri?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Kuna hoja inatumiwa sana na machawa wa Mbowe kuwa Lissu hawezi kuingoza chadema kwa kuwa ni kapuku na mbangaizaji.

Lakini tumeona viongozi kama Nyerere wakiongoza chama kwa mafanikio bila kuwa matajiri.

Lissu atashindwa nini? Maalim Seif hakuwa millionea kama Mbowe lakini aliipa nguvu cuf na baadae ACT.

Mbowe acha kuita wenzio wabangaizaji. Siasa ni watu.
 
Back
Top Bottom