Ndio Maana Wanaume Tunakufa Mapema

Ndio Maana Wanaume Tunakufa Mapema

Cry if you need to.

Find someone who can listen to you without being judgemental.

None of those makes you a lesser man.
Kweli kabisa usemayo

Wakati mwingine Kulia ni dawa na huondoa nguvu hasi.

Na haitabadilisha who we really are,a man will always be a man!
 
Umenena kweli kbsa mkuu.
Wanaume tujitahidi kufatujiana na kutiana moyo ili tuweze kuondokana na masaibu yanayotukumba.
 
Back
Top Bottom