Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Kwaiyo unategemea na mvua hii,umempa lift mtembea kwa miguu! Asiwe na tope kweny viatu vyake? au michanga? Kwani umeleta malalamiko juu ya nini kwenye huu uzi wako mkuu? Au umelewaNilikuwa sijui kuwa ukitenbea kwa miguu lazima uwe na michanga.
Unatoa lift kiroho safi ila mtu/watu wakishuka inabidi upitie car wash. Michanga hadi kwenye viti. Hali ni mbaya zaidi mvua ikinyesha. Uzi tayariNilikuwa sijui kuwa ukitenbea kwa miguu lazima uwe na michanga.
Sifuri 😁Samahani kiswahili ulipata grade gani?
kweli kabisaHizo stories zako ni za kishamba
SalamalekoIla kumwagia uji kwenye viti hamuoni kuwa ni uchafu🤒
Tafadhali tupeni lift tu…mtaosha mkifika mkuu
😂 anatupanga huyu🙄Salamaleko
Sasa gest unayo kwa nini ukalipie tena😂 anatupanga huyu🙄
😂😂sasa mbona mnalalamikia vumbi la kupangusa tuSasa gest unayo kwa nini ukalipie tena
Vumbi bila utamu halikubaliki😂😂sasa mbona mnalalamikia vumbi la kupangusa tu
Unapenda msaada mtoto wa kiume ukishikwa makalio usilalamikeUnapotoa msaada,toa kwa roho safi tu na Mungu atakubariki,
Hizi issue ndogo ndogo unapotezea tu ili kuukamilisha wema wako uliyo mfanyia mtu kwa msaada wa usafiri.
Dogo nipo na mamako gheto usinisumbue muda huu.Unapenda msaada mtoto wa kiume ukishikwa makalio usilalamike