Hao hao unao wapa lift, siku gari lako limeharibika,wanaanza kusema ooh gari kila siku gerage mara oh alikuwa anaringa mno leo nae amekuwa kama sisi. Bora kuwa unawanyima mazima tu.
Lakini hawa ndio nikikwama kwenye matope wanasukuma ni vile wakishuka ndio hivyoHao hao unao wapa lift, siku gari lako limeharibika,wanaanza kusema ooh gari kila siku gerage mara oh alikuwa anaringa mno leo nae amekuwa kama sisi. Bora kuwa unawanyima mazima tu.
Tajiri hatoi lift masikini ndio tunapenda kusaidiana
🥹🥹 sawa basi usimseme msamehe tuChic muomba lift wala hajui JF
Sawa MkuuHaya Chic
Sidhani kama tajiri anaweza kutoa lift kisha akaenda kwenye social media kulalamika.Aah matajiri bwana! 😁
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mtu anatembea kwa miguu, anakosaje michanga, vumbi na tope! 😁
Basi tutakuwa tunavua viatu tunavishika mikononi mkitupa lift kwenye magari yenu.
Matajiri bwana!
Kwamba ww dereva Huwez kufa?Kutoa lift ni hatari, itakuja mtu ulie mpa lift ukifie kwenye gari lako.. hadi uonekena auhusiki na hicho kifo umepoteza mda wako..
Sasa huo mchanga c unakung'uta tuu hapoMkuu nipo car wash hapa 10,000 imenitoka tayari