Ndio maana watu huwa hawapendi kutoa lift

Kwamba ww dereva Huwez kufa?
msala atabaki nao abiria , all in all kuwapa watu lift ku vi risk, unakuta mtu hata ana madawa ya kulevya n.k hasa kuwapa watu usio wajua na huna uhusiano nao wowote.. kuna bro wangu alishawai mpa mtu lift kimbe ndani abiria alikuwa na SMG kidogo anyeee ndooo
 
Aisee noma
 
Festi ekspiriensi, bro unge nielimisha ili nibebe viatu kwenye kichwa tu.

Ila nashukuri huja toa picha zangu, licha ya kuwa na li dashcam
FB_IMG_17766299284224145.jpg
 
Back
Top Bottom