Ndio mapenzi yao..ni stress!

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
379
Reaction score
41
Habar JF!

Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri. Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kuwa na stress kwa kuwa anakujali na wewe unamjali. Uongo katika mapenzi ndio unaosababisha matatizo ya kiakili na hasira sizo muhimu. Maana utakua unapoteza muda wako wa kujenga taifa uliopo. Hilo linachangia kuwa muongo kwa mpenzi wako na kutokua huru wa akili zako.

Fikiria unae mpenzi eneo lako la kazi...unae mpenzi mwingine ukienda kumtembelea rafiki yako maeneo ya mbali na kwako pengine hata sehemu ya kazi ya rafiki yako.Hivi wapenzi wote hao ni kwa ajili gani? Unaweza kunisaidia kujua nini kinachotafutwa? Hata wakina dada nao wanakua hivyo hivyo! Tujadili ili tubadilke...si mfumo mzuri.

aisee! Ngoja tutafute wapenzi huko europe ambao hawana stress.

aisee! Ngoja tutafute wapenzi huko europe ambao hawana stress.

Hata huku ajira inasumbua!
Lakin huko mnasumbua zaidi. Ndio nataka faham kipi kinawadangenyeni?

Hata huku *ajira* inasumbua!

Lakin huko mnasumbua zaidi. Ndio nataka faham kipi kinawadangenyeni?

kumbe unaongelea ajira sio mapenzi!!

Umaskin wa mali unazidi kupanda sana.
Kutosheka kwa kufanya kazi hakuna ubunifu mzuri.
Hilo limeongeza hata mabint wadogo kufanya ngono na wababu...hasa wakizungu.
Na hilo linatokea kwa vijana wa kiafrika kwa ugumu wa maisha Uk/Usa wanadandia sugar mummy!
Hata kiafya ni jambo la hatari.

umesema!............ngoja ntarudi namuona mteja anataka nimg'arishie viatu vyake,...ntarudi muda si mrefu ngoja nimhudumie huyu

si ndio maana najipendekeza pendekeza hapa. Hujaushtukia mchezo nini? Utanisindikiza eapoti eeh?
Nimekushtukia mapema sema nilitaka ukiri kwa kinywa chako ili yatimie mawazo yangu...lol... Ntakusindikiza yakhe... Wewe tena?..

hilo neno,hata mimi huwa najiuliza hata kuwa manage inakuwaje wakiwa wengi au ndo wengine unasaidiwa?aghhhhhhhhhhhhhhhhh ndo maana umasikini hauishi halafu tunalalamika kumbe tunajitakia kwa kuwa na mlolongo wa manamake ,wengine hata nguvu za kiume hazitoshelezi wanaishi kwa viaga ili waonekane vidume.

kumbe unaongelea ajira sio mapenzi!!

Naongelea tabia yakupenda kumiliki wanaume wengi/wanawake wengi. Hizi tabiya zinazidi kwa kasi huko afrika.
Watu wabadilike wanaongeza matatizo .

Vizur umeliona ...maaana hawataki kunikubali mawazo yangu. Ingawa kila mtu anayo mawazo yake anayoyaona yanamfaa. Muhim nikuwazindua hao jamaa zetu huku europe na huko afrika. Nlipokuja huko afrika nlikutana na majambo ya ajabu ajabu ...kwa ujumla ni aibu ambayo hawajaiona kwa mawazo yao.

nakubaliana na we Ndevu mbili 100%. Ndivyo walivo...njia kama hizi watajibadili kidogo kidogo kama walivyo ingia kwenye mfumo huo.

Hata huku ajira inasumbua!

Lakin huko mnasumbua zaidi. Ndio nataka faham kipi kinawadangenyeni?
Maisha ndio yanawadanganya.
Wapo wachache hufanikiwa maisha kwa mifumo ka hiyo hiyo unayoipinga ww.lol

Mhh hiyo europe uliyopo wewe ni ipi? watu wanatenda kama bongo tu
usidanganye watu, shukuru tu Mungu kakupatia wako ambaye hasumbui
Maisha ni yaleyale tu tunayoishi binadamu duniani kote
kuna thread imeanzishwa how to handle infidlty, unadhani mwandishi
ni mbongo yule?tupeane tu maneno ya kufanya mema kwenye mahusiano
sio kusema sehemu fulani iko hivi na kule hivi

Mkuu unanikumbusha kitu, before sijatendwa na mpenzi wangu, nilikuwa
naona haya hayawezi nitokea kabisa kwenye maisha yangu,nilikuwa nikisikia
watu wanasema watu wao wamecheat, nawaza how come , moyoni namwona wangu kama malaika
ndio nakuona wewe sasa hivi unavowaza kuhusu huko uliko

duniani kote watu wanacheat ila miafrika imezidi kuwa na nyumba ndogo,mzungu atakuwa honest with you:utamsikia am sorry i dont find you attractive anymore halafu huyooo anasepa zake,ila muafrica kusema hasemi kutoka hatoki wala haongei mpaka siku anakufa ndio unawaona watoto wanajitokeza kila pembe ya dunia wakiclaim alikuwa ni baba yao lol

Haya watu wa Europe hebu tujuzeni, kulikoni?

watu tuko tofauti...nafikiri mapenzi ya kweli yapo bongo sio europe maana huko ni balaa!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…