Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 41
Habar JF!
Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri. Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kuwa na stress kwa kuwa anakujali na wewe unamjali. Uongo katika mapenzi ndio unaosababisha matatizo ya kiakili na hasira sizo muhimu. Maana utakua unapoteza muda wako wa kujenga taifa uliopo. Hilo linachangia kuwa muongo kwa mpenzi wako na kutokua huru wa akili zako.
Fikiria unae mpenzi eneo lako la kazi...unae mpenzi mwingine ukienda kumtembelea rafiki yako maeneo ya mbali na kwako pengine hata sehemu ya kazi ya rafiki yako.Hivi wapenzi wote hao ni kwa ajili gani? Unaweza kunisaidia kujua nini kinachotafutwa? Hata wakina dada nao wanakua hivyo hivyo! Tujadili ili tubadilke...si mfumo mzuri.