ndio ndoa hizi

Ha ha ha hommie hi inahitaji thread yake inayojitegemea!
 
samahani mie nauliza hii ndoa ndio kwishwa habari yake au itaendelea... ? manake naona hii ni too much mwanamke kawaona ivi ivi (ile picha haiwezi futika tena) .... yani hii ni tofauti na aliye cheat lakini hujamuona...

khaa mwenye mume keshasamehe hata hajaombwa msamaha, ndoa inaendelea
 
sasa mbu nipe msimamo wako....!
KUPENDA KUPINDUKIA NI UTAAHIRA?
 
so kosa la huyu wifi ni kum surprise mumewe?

...hapana!,...wifi yako hakukusudia kumsurprise, alikusudia kumfumania!

Na hili ni onyo kwa nyie wote mlio kwenye ndoa. Ili kudumisha amani, mapenzi na utulivu wa akili;
  • Muhimu kutoa taarifa kwamba sasa unarudi nyumbani.
  • Muhimu ukifika nyumbani ugonge mlango
  • Muhimu unapoingia nyumbani umjulie hali mkeo/mumeo
 
Mh... hivi hii thread inahusu nini vile??? chapa ilale au kanyaga twende?
mi nalia na infidelator huyu!ananiangusha sana mwenyekiti wake kwanini aliamua kuchiti kaacha milango wazi?
 
khaa mwenye mume keshasamehe hata hajaombwa msamaha, ndoa inaendelea

ooow my goshhhhhh.... haaa? she might be feeling guilty or done something wrong...yani sipati picha..
 
ooow my goshhhhhh.... haaa? she might be feeling guilty or done something wrong...yani sipati picha..
anaogopa aibu huyo!rejea vyema majigambo yake kwa kumnukuu ''mrusha mada''
 
mi nalia na infidelator huyu!ananiangusha sana mwenyekiti wake kwanini aliamua kuchiti kaacha milango wazi?

HUyo si infidelator bwana... huyo ni infiltrator au trainee at most... MAANA AMESAHAU INVISIBLE MODE

waswahili wanasema u$inye unapolala
 
Nyamayao umenifanya nicheke pasipo kutekenywa... eti unaingia moyoni mwa mtoto wa mwanamke mwenzio mevaa kandambili??! Lol nimekumiss sisy.

Mh hivi bado wenye kuamini one to one relationship katika institution ya ndoa?

Masikini wifi pole mwaya umetukana mamba wakati bado hujavuka mto mpenzi?
 
sasa mbu nipe msimamo wako....!
KUPENDA KUPINDUKIA NI UTAAHIRA?

...Ohh hooo!, wewe hujaona vituko bana. Huyo jamaa yako ana nafuu hivyo 'anavyopelekeshwa!'.
wapita njia tunajidanganya ooh, kalishwa limbwata,...hakuna lolote.
Uchizi tu wakujitakia!
 
mimi hapa mamii!!! kwani hakuna?? niambie kabisa mi nijue moja
 
HUyo si infidelator bwana... huyo ni infiltrator au trainee at most... MAANA AMESAHAU INVISIBLE MODE

waswahili wanasema u$inye unapolala

...bro kwa jinsi picha hii ilivyo, huyu bwa mkubwa anajiamini "anavyokula kwa urefu wa kamba yake!," wala hahitaji kujificha ficha tena.
No wonder majibu yake yamesimama vile vile kiasi kwamba Bi mkubwa karudisha majeshi na kuomba bora yaishe!
 
mimi hapa mamii!!! kwani hakuna?? niambie kabisa mi nijue moja
Mpenzi ah wala usiwe na shaka dia hii ni ngoma na utamu wa ngoma.............. so shaka ondoa huwezijua wawezabahatika ukaingia na mirindimo ya aina yake ya kipekee so ukawini but cha muhimu tu usijikamie kuwa mshindi weye!!
 
...bro kwa jinsi picha hii ilivyo, huyu bwa mkubwa anajiamini "anavyokula kwa urefu wa kamba yake!," wala hahitaji kujificha ficha tena.
No wonder majibu yake yamesimama vile vile kiasi kwamba Bi mkubwa karudisha majeshi na kuomba bora yaishe!

kuna ukweli hapo...kwahiyo hawa majivuno ndio wamemharibia huyu bibie... ohoooooooooooooooooooooooo ujuaji ukizidi ndio hayo matokeo yake....
 
mwanamme usimpe guarantee hata siku moja . tena kila ukiona ana (anajifanya) na mapenzi na wivu mwingi ukae mkao wa attahiyatu......ujue anytime utanyanyuka!

fanya kile unachoweza, lakini usione ndoa ya mwenzio inalega lega ukataka kukosoa sana kuwa wewe ni professional na wako hawezi kukutenda.

sometimes inabidi tukubali tu maneno ya asprin wanaume wameumbwa kwa wanawake wengi asipotafuta nje jua amejitahidi kulivyo kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…