MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Aksante Partner nimeshakaribia ........... Asa mbona nasikia harufu ya wivu partner?? ndio nini kuredisha hapo kwenye nimefichwa sehemu??. .......mwenzio nilikuwa aisiiyuu..........welcome back partner, jamvi limeku miss sana.
Huenda umekusanya mapya ya ku dicuss humu.[/COLOR]:thumb:
Hapo chacha ..........ila mh hawa viumbe wakiamua kukuchezesha kwata unalicheza haswa shost yangu usiombe kusikia!! Mie nilichezeshwa enzi hizo elimu ya mapenzi haijaeleweka vizuri mbona nlishaaaa.... Sikuingia ICU lakini cha moto nilikiona.Mtu nimemkuta mkubwa kabisa na meno yake 32 anipeleke ICU!!? ooh no! naomba tu Mungu anisaidie. Ndo maana i hate suprices. mpe pole wifi
tatizo ''mwenzio'' aliintatein MAJIGAMBO kwa wanawake wenzie.....!ndo maana she had to ''take a risk'' ya kumfumania au la JUST TO PROVE HERSELF RIGHTMtu nimemkuta mkubwa kabisa na meno yake 32 anipeleke ICU!!? ooh no! naomba tu Mungu anisaidie. Ndo maana i hate suprices. mpe pole wifi
tatizo ''mwenzio'' aliintatein MAJIGAMBO kwa wanawake wenzie.....!ndo maana she had to ''take a risk'' ya kumfumania au la JUST TO PROVE HERSELF RIGHT
ushindwe na ulegee wewe dawaHuyo wifiyo angekuwa anaifahamu necha vizuri wala asingepata mapresha yote hayo.
Ni hivi:
Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi... Ukishalijua hili na kulikubali nakuliamini, na kulitenda, haya mambo wala hayatakuumiza.... Mfundishe wifiyo kanunu hii na afya yake itarejea sawia!!!
umekuwa mkali kweli kweli!eeh!au unaaaaa......😛reggers:😛reggers:ushindwe na ulegee wewe dawa
ustake kuhalalisha madudu pale bustani ya edeni kulikuwa na akina hawa wangap na adamu wangapi???????
acha ushetwaaaaaaaaaani wako
the formula goes to 1 by 1 nt 1 by 11 u gt me???????
karibu chai na mihogo!!!!!!!!!!
nawasilisha
ukali huu una manufaa yake....ila kuna siku utakubali.....:argue:ushindwe na ulegee wewe dawa
ustake kuhalalisha madudu pale bustani ya edeni kulikuwa na akina hawa wangap na adamu wangapi???????
acha ushetwaaaaaaaaaani wako
the formula goes to 1 by 1 nt 1 by 11 u gt me???????
Nyamayao umenifanya nicheke pasipo kutekenywa... eti unaingia moyoni mwa mtoto wa mwanamke mwenzio mevaa kandambili??! Lol nimekumiss sisy.
Mh hivi bado wenye kuamini one to one relationship katika institution ya ndoa?
Masikini wifi pole mwaya umetukana mamba wakati bado hujavuka mto mpenzi?
ni yeye aliekuwa natuambia kaka zake wanatu cheat coz sisi wake zao hatuwa handle/wajali kama inavyopaswa ndio mana wanatoka nje, yeye mume wake hawezi kutoka nje coz anampa kila kitu anachostahili kupewa na mkewe ""mie huwa nashangaa sana kila wakati mkalalama kaka zangu wana cheat, kwanini hamjiulizi why wanawa cheat ili mrekebishe tatizo?..mwanaume mwenye kujaliwa na mkewe hawezi kum cheat hata cku 1"...ni maneno ya kashfa ya mdogo wake na mr aliyokuwa anatuambia wakati kaka zake walipokuwa wanatufanyia maruwe ruwe... huwa anasema mume wake ni kwa ajili yake tu, na kila binadamu anaewajua huwa wanajua kwamba wao wawili wameumbwa kwa matumizi ya wao wawili tu, ni j5 nimefika home ucku, cm ya mr inaingia mtu anash2ka kuambiwa dadake yupo I.C.U.... ni kwamba alikuwa safari kikazi dar, nia yake arudi kwake arusha kwa kum surprise mumewe, kafika home kaingia sitting room kamkuta mume na binti anaemsaidia kazi hapo home (ni binti wa mjomba wake kabisa) wapo dunia nyingine, kabisa, wifi alipiga yowe na kuzirai hapo hapo, kakimbizwa Selian hosp muda mfupi kahamishiwa I.C.U...alhamic nilifunga safari kwenda kumuuguza coz mama mpaka atoke shy, maendeleo sio mabaya jana katolewa I.C.U, asubuhi nilimcal mke wa mdogo wake mr ambae ndio anamwangalia kwasasa akasema mambo sio mabaya, kilichonishangaza ni jana asubuhi kaamka vizuri na kuanza kutuomba hayo mambo yaishie kifamilia hataki ma colleague/majirani wajue hilo jambo coz hawatamuelewa na wanajua mr wake ni mwema/safi kabisa na hata hivyo juzi ameteleza tu"... mr jana ndio kajitokeza hosp binti hajulikani alipo, mke anasema bado anampenda sana mumewe, mama amefika jana anasema hataki mtoto wake arudi kwenye hiyo ndoa, makaka wanatutolea macho tu, wakati wenzie ndio tumemaliza misuko suko kama hiyo yeye ndio anaianza tena kwa vibaya kabisa, unaingia moyoni kwa mtoto wa mwanamke mwenzio ukiwa umevaa kandambili mchezo? .....nitarudi.
hahaaa lol, mbona kifimbo!!!!
na anajipangusa kweli sasa, si unaona anaona soo watu kujua, anataka yaishe chini chini kwa kuwa alijigamba kuwa yeye ndo yeye mwanzo mwisho, mumewe anachimba uranium humo ndani kwa hiyo hana haja ya kwenda kuchovya kunako chokaa
haaa jamani, watu mna maneno cjapata ckia hii, lol, hata ikihamishiwa migodi ya mererani humo lakini kwenye chokaa kwa hawa viumbe lazima watajaribu wakidhani napo kuna madini....wifi nackia anaendelea vizuri, mkaka anaendelea na maiha hata jana nimemcal kumjulia hali anasema yeye yupo sawa kabisa na mihangaiko ya maisha inaendelea.
Vibaya hvyo nyamayao mbona unakuwa kama unashangilia mwenzio kuumizwa, Its not fair at all hebu muonee huruma kidogo mwanamke mwenzio bwana.
Dawa ni kuweka ganzi tu kwenye moyo wako....!!! Ili hata siku yakitokea uweze kuyahimili. Kama huyo dada aliyelazwa ICU sasa hivi ndio ameshakomaa sasa....Yaani hata akimfumania mumewe tena hatalazwa!
ushindwe na ulegee wewe dawa
ustake kuhalalisha madudu pale bustani ya edeni kulikuwa na akina hawa wangap na adamu wangapi???????
acha ushetwaaaaaaaaaani wako
the formula goes to 1 by 1 nt 1 by 11 u gt me???????
karibu chai na mihogo!!!!!!!!!!
nawasilisha
hebu hiyo dawa ya ganzi mumdunge na BHT, huyu kwasasa atakuwa hana amani kabisa, atakuwa anafikiria/waza hii ishu mpaka ije imtoke kichwani/moyoni itachukua muda....mwanaume labda umuumbe wako then uwe unachomoa ile kitu yake mpaka utaakpomuhitaji ndio ukibandike...ukimaliza unakibandua, atleast utabaki na ka amani kidogo.
ili ''mkose wote''hahaaa super dearest, hebu ongea na laaziz wako vizuri, ila kama hiyo ndo ganzi yenyewe mmmmh nimekufa mweh!!!
hapo kwenye rangi.......sijui if I will learn to live with that painful truth poor me!!! dawa kuwachongeshea boxers za chuma hawa.
haaa jamani, watu mna maneno cjapata ckia hii, lol, hata ikihamishiwa migodi ya mererani humo lakini kwenye chokaa kwa hawa viumbe lazima watajaribu wakidhani napo kuna madini....wifi nackia anaendelea vizuri, mkaka anaendelea na maiha hata jana nimemcal kumjulia hali anasema yeye yupo sawa kabisa na mihangaiko ya maisha inaendelea.
heheeee mihangaiko ya maisha inaendelea mweh!! mwenzie hata akirudi kazini hataweza ku-concentrate kwa sasa, wakati mwenye makosa anapeta tu. huyo mke mwenzio sitashangaa kusikia yeye ndo anaomba msamaha kwa hubby lol!!!
Me love being a woman!!
ili ''mkose wote''
sasa akitaka kwenda ''GENTLEMEN'' tena ile kubwa?aaaah mi ntakuwa na ufunguo sasa.....