ndio ndoa hizi

ndio ndoa hizi

La haula! Sijui alikuta jamaa anakula ....we mpaka kuzimia cmchezo! Kuna member mmoja hapa JF nae alishakiri mumewe hawezi kucheat ngoja aione hii!
 
sasa Mbu kweli hapa eti jamaa anasema kw aajeuri waniulize waone.....alishindwa nn kumwambia mkewe hataki kutengewa chakula na H/G, wala kutandikiwa wala kunyooshewa??? wats so difficulty hapo?? ona sasa aibu hii wayiiiiiiii....

na hata angeyafanya yote hayo bado angecheza rafu na angetungiwa stori nyingine, unacheza na mwanaume nini, mwanaume ni mzuri akiwa hajacmamisha, akicmamisha bac tena.
 
Mke mwenzangu huwa ananiambia siku akimkuta wifie na house b,anawapiga kinywaji.afu anaondoka anampigia wifie simu kumwambia atafute sehemu za vichochoroni. nilimuuliza kwa nini? Akanijibu kwani mie najua kaka yangu anamtenda nini? Huyo atakuwa aisifiae mvua.....

...haha, kwa mtaji huo dada mtu badala ya kuziba ufa, anaubomoa ukuta!
Nyamayao, kwa mtaji huu sijui uta side na nani hapa.
Kazi kweli kweli ndoa za kisasa.
 
na hata angeyafanya yote hayo bado angecheza rafu na angetungiwa stori nyingine, unacheza na mwanaume nini, mwanaume ni mzuri akiwa hajacmamisha, akicmamisha bac tena.

nimecheka mm!
 
habari ndio hiyo!....
wanawake ni miradi ya hasara...!A TOTAL LOSS BUSSINESS

ha ha ha, Teamo kidogo kidogo bana, wewe ndoa yako bado changa
Jipe moyo- Utayashinda tu majaribu hayo
...hahaa...

ebu tueleweshe basi! how come ni ya hasara yet mnaendelea kuinvest?
wanaume wengi wanafanya kazi kwa bidii zote 99 ili wakidhi mahitaji ya WANAWAKE.....
 
na hata angeyafanya yote hayo bado angecheza rafu na angetungiwa stori nyingine, unacheza na mwanaume nini, mwanaume ni mzuri akiwa hajacmamisha, akicmamisha bac tena.

angalau basi one has played his/her role......

timiza majukumu yako then akuchiti ujue tu huyo aliamua hata hukumsukuma kufanya hivyo....then ufe vizuri kwa machungu
 
ebu tueleweshe basi! how come ni ya hasara yet mnaendelea kuinvest?

...mnh, ama kwa hakika hili jibu limeniuma mno!
Kwakweli ndoa za kileo msumeno hasa,-JEHANAMU
Nitaprint jibu lako hili, niambatanishe kwa wataotaka michango yangu ya harusi zao.
 
Back
Top Bottom