Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #101
Karibu sana JamiiForums...
Asante sana watu 8 [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana JamiiForums...
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Fatilia Nyuzi za humu utaamini nachokuambia, leo Mtu anaweka Uzi anafanya kazi analipwa Milioni 4 kwa Mwezi poaho laki 2.... alafu kesho anatoa uzi ana miaka miwili hana kazi yupo tu Mtaani... kwahiyo Mikwala muhimu
Uzi tayar
Hili nalo litapita
Karibu sana epuka matusi ama kauli za kuudhi ama kudhalilisha fikiri kabla ya kuchangia. Huku watu ni waelewa si kama facebook ama insta umri umefichwa na jina hivyo waweza mjibu baba yako shangazi, mama, hata babu pendelea kuheshimu.
Nomino.Ulimakafu ndio nn
Karibu sana ndugu yetu.Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
Karibu sana ndugu yetu.
Nomino.
Zingatia alama za uandishi weka koma kila unapotumia kivumishi kielezi
Weka nukta kila unapomaliza kuandika sentensi.Niache bana !! muhimu uelewe
Weka nukta kila unapomaliza kuandika sentensi.
Je, wewe ni atheist?Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
Je, wewe ni atheist?
Hata sijui.Nonino kitu gan
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Karibu mkuu huku kila mtu ana gari na miradi mikubwa mikubwa.
😘Sawa, karibu sana