MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nikijua hivyo ndugu yangu ,alafu nikawa najua ni TABIBU katika vyombo vya usalama maana zungumza yako ni Kama Askari kumbe nilikuwa OpDoctor kwamba eti na mimi ni tabibu mahali fulani?😁😁😁
Very sorry Ila Jambo moja ikiwa Kuna sehemu umejishikiza keep making up ndugu hakuna kwenye unafuu kikubwa mkono uende kinywani .
Ni watumishi wengi ambao Sasa ukimuuliza anayo hata laki kwa akaunti macho yatamtoka Kama mjusi aliyebanwa na mlango hivyo kikubwa ni hela si ajira ndugu .
Pamoja Sana aisee japo sikudhani