MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nitafanya hivyo ndugu .Kaka hata wakili yuko standby, naelewa Sana.
Just approach her in a nice and appropriate way, uliza kuhusu afya yake.
Kisha omba mawasiliano yake, kwa madai mzee wako ana muulizia rafiki yake huyo.
Yakinikuta njooni mnotoe mwanenu maana kwa arosto ya pombe niliyonayo sidhani kama hata wiki naweza kutoboa mahabusu bila kusema rest in peace