MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nikijua hivyo ndugu yangu ,alafu nikawa najua ni TABIBU katika vyombo vya usalama maana zungumza yako ni Kama Askari kumbe nilikuwa OpDoctor kwamba eti na mimi ni tabibu mahali fulani?πππ
Ila ulikua haujakosea japo niliachana na hiyo fani kitamboπ€Nikijua hivyo ndugu yangu ,alafu nikawa najua ni TABIBU katika vyombo vya usalama maana zungumza yako ni Kama Askari kumbe nilikuwa Op
Very sorry Ila Jambo moja ikiwa Kuna sehemu umejishikiza keep making up ndugu hakuna kwenye unafuu kikubwa mkono uende kinywani .
Ni watumishi wengi ambao Sasa ukimuuliza anayo hata laki kwa akaunti macho yatamtoka Kama mjusi aliyebanwa na mlango hivyo kikubwa ni hela si ajira ndugu .
Pamoja Sana aisee japo sikudhani
Na t-shirt kiongozi zinatok liniWe kijana hiyo michango uli mpa nani?
though michango ni kitu kizuri kina weza saidia kuanzisha miradi.
min -me
Kaka nina historia mbaya na kazi anayoifanya shemeji ukizingatia back in days nimewahi kuwa nafanya kazi hiyo Ila niliharibu Sasa kila nikiwaza kumfuata kumuomba namba nahisi Kama anaweza kunidhania mengine mwisho nianze kufuatiliwa Kaka ilihali Sasa nimetulia na tupombe twangu .Hahaha mzee wao ana endeleaje?, uli sema uta omba namba kwa shemeji!.
kaka mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.
Too early to predict bro!All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu.
Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
Sawa kabisa ,ndege wafananao huruka pamoja ilikuwa lazima ubaki na baadhi ya traits za huku ni hapo lazima sisi ndege wenzio tuhisi Jambo la mwenzetu hata ikiwa haupo huku tena .Ila ulikua haujakosea japo niliachana na hiyo fani kitamboπ€
Sure bro japo ni kitu nakipenda mno , siku moja nitarudi tu.Sawa kabisa ,ndege wafananao huruka pamoja ilikuwa lazima ubaki na baadhi ya traits za huku ni hapo lazima sisi ndege wenzio tuhisi Jambo la mwenzetu hata ikiwa haupo huku tena .
Pamoja sana
Kaka nili kwambia usi ogope, na hata waki jaribu kukugusa trust me nakuja mwenyewe kukutoa rumande.Kaka nina historia mbaya na kazi anayoifanya shemeji ukizingatia back in days nimewahi kuwa nafanya kazi hiyo Ila niliharibu Sasa kila nikiwaza kumfuata kumuomba namba nahisi Kama anaweza kunidhania mengine mwisho nianze kufuatiliwa Kaka ilihali Sasa nimetulia na tupombe twangu .
Kiukweli sijui anaendeleaje
Nitafanya hivyo nduguKaka nili kwambia usi ogope, na hata waki jaribu kukugusa trust me nakuja mwenyewe kukutoa rumande.
Jaribu kaka, ni muhimu sana kujua hali yake.
Sina wasiwasi, ila michango ni muhimu katika kuanzisha miradi ya Chama.Angetoa mchango ningesema ndugu raisi wetu
Jitahidi kaka, maisha yana suprise zisizo tabirika.Nitafanya hivyo ndugu
Sure broSina wasiwasi, ila michango ni muhimu katika kuanzisha miradi ya Chama.
Jobless anaye aminika ana pewa shughuli afanye.
Nitajitahidi Ila kaa standby sababu najua unajua nadeal na familia ya aina gani wasijesema Mimi ndiye namloga chapombe waoJitahidi kaka, maisha yana suprise zisizo tabirika.
Kaka hata wakili yuko standby, naelewa Sana.Nitajitahidi Ila kaa standby sababu najua unajua nadeal na familia ya aina gani wasijesema Mimi ndiye namloga chapombe wao