MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nitafanya hivyo ndugu .Kaka hata wakili yuko standby, naelewa Sana.
Just approach her in a nice and appropriate way, uliza kuhusu afya yake.
Kisha omba mawasiliano yake, kwa madai mzee wako ana muulizia rafiki yake huyo.
Nikupe dawa ya kuacha?Nitafanya hivyo ndugu .
Yakinikuta njooni mnotoe mwanenu maana kwa arosto ya pombe niliyonayo sidhani kama hata wiki naweza kutoboa mahabusu bila kusema rest in peace
Maswahibu yangu ni makubwa mdogo wangu iache iwe dawa kwasasa siku yakiisha au kupungua nitakutafuta .Nikupe dawa ya kuacha?
Check my pm broMaswahibu yangu ni makubwa mdogo wangu iache iwe dawa kwasasa siku yakiisha au kupungua nitakutafuta .
Wanawake wabaya mdogo wangu
Nimeicheck Ila Sasa siwezi hata kufungua uwa inagoma nilifanya vile ulinielekeza lakini bado inagoma kakaCheck my pm bro
Wasiliana na mod Active ata tatua shida yako.Nimeicheck Ila Sasa siwezi hata kufungua uwa inagoma nilifanya vile ulinielekeza lakini bado inagoma kaka
FAINALI UZEENI.All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu.
Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
Update browser unayo itumia hii nilipewa na ndugu yangu Raisi wa MA JOBLESS PRO MAXNimeicheck Ila Sasa siwezi hata kufungua uwa inagoma nilifanya vile ulinielekeza lakini bado inagoma kaka
For shuaaaa Mungu azidi kutuangazia mwanga ake ili fursa tulizone na wenye fursa watuoneFor shua nauona mwanga mkubwa sana hasa kwa sisi majobless promax Intelligent businessman makutupora @ na viongozi waandamizi wengine.
Mwaka huu mgumu sanaas Feb ilikuwa ngumuu kama Jan....sijui tuendakooo...kwa kweli...tukomaee tuuu tuone mwisho wakeeAll in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu.
Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.View attachment 3253213
Pole mkuu,Nimeicheck Ila Sasa siwezi hata kufungua uwa inagoma nilifanya vile ulinielekeza lakini bado inagoma kaka
Where do you teach those young people?Alcohol free since January 1 2024. Check.
Reading at least two books a month. Check.
AI Stocks investment strategy on track. Check.
Teaching young people essential life skills. Check.
Work/life equation balance. Check.
At a Bronx, NY Community Center.Where do you teach those young people?
๐๐๐๐Vijana mnapenda wenyewe kuwa joblessFor shua nauona mwanga mkubwa sana hasa kwa sisi majobless promax Intelligent businessman makutupora @ na viongozi waandamizi wengine.
Kwanini boss?๐๐๐๐Vijana mnapenda wenyewe kuwa jobless