Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Hapa New York zimepigwa kwelikweli kati ya mgombea Zohran Mamdani akampiga chini mgombea Andrew Cuomo na hawa ni wanachama wa chama cha Democrats.Wanataka uchaguzi ndani ya CCM.
Hakuna alietarajia Mamdani kushinda uchaguzi huo ndani ya changamoto za wayahudi walomtaka Cuomo.
Hii ndo demokrasia huanzia kwenye chama chenyewe watu wachuane kwa hoja na sera na si mtu apitishwa tu jina bila kupita kwenye taratibu za ugombea nafasi ya uraisi.