Ndiyo maana Gwaji Boy kachukua fomu, kumbe kuna asiyempenda meza itapinduliwa soon?

Ndiyo maana Gwaji Boy kachukua fomu, kumbe kuna asiyempenda meza itapinduliwa soon?

Taratibu taratibu tutaelewana tu, kama bomu la machozi linapigwa na watu hawajali, tutaanza kushuhudia squard tactical retreat au mauaji..... Yote hii ni sababu ya chama chakavu kung"ang"ania madaraka.

View: https://www.facebook.com/share/v/168T3k637d/

Hii clip inafikilisha, watu hawaogopi tena mabomu ya machozi, police sasa wanaanza kulishiwa chupa za maji, ukiangali una kwa mda mfupi tu police walianza kupata wasiwasi , hao ni watu wasio zidi miambili je wakiwa 2000 itakuaje.
 
......



......

Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu?

Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi?

Watajuwana wenyewe huko
Pamoja na mayutongo yote yale ya bakabaka😂
 
Back
Top Bottom