Ndiyo maana IDF inaitwa The Most Moral Military Army in the Planet

Ndiyo maana IDF inaitwa The Most Moral Military Army in the Planet

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.

Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    15.6 MB
Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.

Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
Ushuzi mtupu umeandika
 
Hakika, Sijawai kuliona jeshi linalotoa misaada mingi sana kwa adui yao kuanzia Umeme, Maji, Internet, Chakula, Mattibabu, Maonyo ya kupiga sehemu flani watu wasiwepo, n.k.

Katika kitu ambacho Hamas hawajakifurahia hata kidogo basi ni Israel kusimamia ugawaji wa misaada, hawapendi hiki kitu ndio maana utawasikia wanatunga uongo kuna madawa ya kulevya kwenye misaada, kufunga barabara kwa wanaoenda kuchukua misaada na hata kupiga risasi wanaokaidi na kusingizia ni Israel. Yote haya yana lengo moja tu ! Hamas wasimamie misaada kwa maslahi ya kutajirisha viongozi ambao wanaishi kifahari na familia zao nchi zenye usalama,
 
Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.

Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
Occupation army
 
Kumbe mnajua inategemea nchi nyingine...
Assa itakua ya kwanza akat nayo inategemea mwenzake 😃
Nyie propaganda zenu za kuunga unga
Haitegemei.Wewe unategemea macho yako yakusaidie kuona au yanapaswa kuona bila shuruti?USA ni Israel yenye mpaka ulio mbali tu.
 
Back
Top Bottom