much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Basi ndo hivo hilo jesho ambalo halijamilika lina vidole halina miguuSasa,unaanzaje kutenganisha mguu uwe hauna goti!?
Basi ndo hivo hilo jesho ambalo halijamilika lina vidole halina miguuSasa,unaanzaje kutenganisha mguu uwe hauna goti!?
Ingekuwa ni hapa kwetu wanajeshi kwanza wangekwenda Monduli kambini kujiweka sawa.Nimetumia neno Monduli munielewe haraka maana ya kambi ya jeshi iliyopo Arusha.Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.
Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
Uko serious kweli .Uongo hizo propaganda
Kama halijakamilika lingeitwa jezi na siyo jeshi tena.Basi ndo hivo hilo jesho ambalo halijamilika lina vidole halina miguu
Sawa Zumaridi endelea kujipendekeza kwa Wayahudi. Hio ni Israel Diaper Force kazi yao kubwa kuua wanawake na watotoHuko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.
Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
Unakataa maneno yako mwenyewee.Haitegemei.Wewe unategemea macho yako yakusaidie kuona au yanapaswa kuona bila shuruti?USA ni Israel yenye mpaka ulio mbali tu.
Hudanganywi.Ni nini na yafaa nini USA bila Israel?Hata ukilazimisha kuzichukulia USA na Israel kwamba ni vitu viwili,hautofanikiwa.Ni mwili mmoja, nafsi mbili.Unakataa maneno yako mwenyewee.
Afu wamdanganya nan akat tunaona
Dini yenu mnafundishwa ujinga wa kijima. Mmejaa chuki za kutaka kuwaua wote wasiokuwa wa dini yenu. Hizo habari za gaza ni propaganda za kijinga kijinga mnajazwa ujinga huko misikitini kwa picha za AI.Uko serious kweli .
Ivi nyie dini yenu ndio inawafundisha hivi
Yaani mafundisho ya yesu hayaendan kabisa na mambo yenu
Kua na hofu katka nafsi Yako simama kwenye ukweli

1978 Tanzania vita na Uganda hata sisi tulikuwa na msaada wa kijeshi na kiufundi toka Cuba, Urusi na China bila kusahau Angola. Hakuna nchi duniani inajisimania yenyewe kabisa kijeshi hata kitechnolojia bila kuazima, kuiga hata kusaidiwa.Haitegemei.Wewe unategemea macho yako yakusaidie kuona au yanapaswa kuona bila shuruti?USA ni Israel yenye mpaka ulio mbali tu.
Haiondoi ukweli kwamba USA na Israel ni kitu kimoja.1978 Tanzania vita na Uganda hata sisi tulikuwa na msaada wa kijeshi na kiufundi toka Cuba, Urusi na China bila kusahau Angola. Hakuna nchi duniani inajisimania yenyewe kabisa kijeshi hata kitechnolojia bila kuazima, kupiga, kusaidiwa.
Lisingehitaji backup ili lishinde vitaKama halijakamilika lingeitwa jezi na siyo jeshi tena.
Siyo backups.Ni kukusanya vikosi vyake.Lisingehitaji backup ili lishinde vita
Tatizo lenu TAQIYYAH ndiyo silaha yenu kuu bila uongo uislamu Una Feli siku moja tu!!Uko serious kweli .
Ivi nyie dini yenu ndio inawafundisha hivi
Yaani mafundisho ya yesu hayaendan kabisa na mambo yenu
Kua na hofu katka nafsi Yako simama kwenye ukweli
Nani alikudanganya ujinga huo?? Hujiulizi hao watoto 28 wanaokufa kila siku wanawakusanya kutoka wapi?Most moral army inaua watoto 28 kwa kila siku moja
Hawa jwtz waliyoshindwa kuiondoa hata ccm au ni jwtz nyingine.Yaan hao idf wakifanya battle na Jwtz
Tunawachakaza kweupeee
ni kwasababu tu akili huna upo kwenye ardhi ya mtu kufanya uovu unashangaa kupigwa,tangu lini akakutwa ndani ya sebule yako ukamchekea!Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.
Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
Hao jamaa wanashindwa kuelewaUko serious kweli .
Ivi nyie dini yenu ndio inawafundisha hivi
Yaani mafundisho ya yesu hayaendan kabisa na mambo yenu
Kua na hofu katka nafsi Yako simama kwenye ukweli