Ndiyo maana michepuko haiishi kwa hali hii

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Unakuta wanandoa hawana hata watoto wameoana majuzi tu, kidogo mwanamke anaanza purukushani. Kosa ni kidogo analivuta maana anajua kaolewa.

Basi anaanza masifa na ugomvi usio wamaana. Halafu mumewe ukute anawafukuziaji tosha, mmoja anapendeza balaa. Unafikiri hatochanganyikiwa, anaenda moja ya kwanza hiyo round mbili, round ya pili anasex hatoki.

Anaweka huyo ndiyo mchepuko wake akiwa na stress. Kelele masaa yote, anakereka.

 
Hata mwanaume mwenye wivu anamchosha mkewe unadhani mkewe akikutana na wanaume wanamna hii atawaacha salama ili tu aishi kwa amani
 

Attachments

  • download (6).jpeg
    6.6 KB · Views: 11
  • images - 2022-10-03T125902.118.jpeg
    8.8 KB · Views: 11
  • images - 2022-10-03T125833.588.jpeg
    5.5 KB · Views: 10
Pic no 3=VICTORIA CAKES au ni mwamba CHEROKEED ASS
 
Ahsante kwa kufanikiwa kutuonyesha picha za Uchi.

Imekuwa ni bahati ya kipekee kucomment mwanzo mwanzo kabla ya Uzi kufungwa
🤣🤣🤣🤣 wametoa picha za kuwadatisha
 
Kuna baadhi ya wapenzi ugomvi wao ni tuhuma za kucheat tu na kiuhalisia hakuna anaecheat. Mtu anapata uzoefu wa kupangua hoja za kucheat hata kabla ya kucheat sababu ya gubu siku akianza kucheat ndio utajua hujui.
 
Hapana kwanza alisomea masanja hakusomea uchungaji , mchungaji mtu aliyesomea nakufuzu uchungaji na kusimikiwa na kupakwa mafuta na kukabidhiwa kulinda kondoo yeye amejiweka tu kuwa mchungaji
Kupakwa MAFUTA? 🤔🤔 hayo mafuta unapakwa pakwa vipi? Kwanini usiachiwe ujipake mwenyewe? Na kwanini lazima upakwe mafuta?
 
Hujawahi kuona Maza house mpole kupitiliza, jamaa anaboreka mpk anafanya maarifa ya kupata sehemu zenye kelele kelele flani hivi walau nayeye achangamke.
 
Baadhi ya wanandoa wakifanya aniversary Kuna mwamba naye anaadhimisha anniversary, na anapewa zawadi kede kede za maana, ndoa nyingi mjini zimedumu na kufanikiwa kuvuka changamoto sana, na wanaosaidia ziendelee kudumu ni mpango kando.
 
Hujawahi kuona Maza house mpole kupitiliza, jamaa anaboreka mpk anafanya maarifa ya kupata sehemu zenye kelele kelele flani hivi walau nayeye achangamke.
Kama sehemu hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…