Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Naoba umeamua umuweke na jacobi...Hata mwanaume mwenye wivu anamchosha mkewe unadhani mkewe akikutana na wanaume wanamna hii atawaacha salama ili tu aishi kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naoba umeamua umuweke na jacobi...Hata mwanaume mwenye wivu anamchosha mkewe unadhani mkewe akikutana na wanaume wanamna hii atawaacha salama ili tu aishi kwa amani
Aliyeelewa msaada please!!
Wewe umetulia kwani??hujatulia wewe lazima
Wivu na sura yako ngumuAll of them on the picture are Gays
Pardon my language..
Eti ehYawezekana pasiwe na ugomvi Wala mikwaruzano, still mchepuko ukawepo.
Mchepukaji Wala haitaji sababu.
Sura ngumu ndio zinang'oa mademu wakali km wewe kwa hio usishangae nikakung'oa ukajaa upande huuWivu na sura yako ngumu
Hamna kituSura ngumu ndio zinang'oa mademu wakali km wewe kwa hio usishangae nikakung'oa ukajaa upande huu
😂
Weeewe unataka tupimane uwezo km hung'okiHamna kitu
EhWeeewe unataka tupimane uwezo km hung'oki
😂
Basi subiri hapo nakuja..
Km ipi?Aisee!? Kwan wanaume huwa wanasababu Maalum ya kucheat?
Mm nimeuliza ebu rudia kusoma tenaKm ipi?
Tayari nmerudia..Mm nimeuliza ebu rudia kusoma tena
Hebu tukuone kwanza wewe ni mweupe kiasi gani sasa wanawake wasasa hawapendi vyeupe wanapenda vya chocolate light ,black basi sasa ndio nimeweka wanasema white mnado sana mna wengiKwamba sisi wanaume weupe tuna nini hadi usiweke picha hata moja hapo 🤔🤔
Ndio kuonyesha msisitizoNaoba umeamua umuweke na jacobi...
Eh wanayo wanadai wanapigiwa makelele mengi sana ndani.Aisee!? Kwan wanaume huwa wanasababu Maalum ya kucheat?
UnahelaMimi kama mimi nikigundua tu umeliwa aisee hata kama tulifunga ndoa ya billions of money nakuacha
Amani ya moyo ni msingi wa maisha yenye furaha
Kabisa....michepuko ni muhimu kudumisha ndoaBaadhi ya wanandoa wakifanya aniversary Kuna mwamba naye anaadhimisha anniversary, na anapewa zawadi kede kede za maana, ndoa nyingi mjini zimedumu na kufanikiwa kuvuka changamoto sana, na wanaosaidia ziendelee kudumu ni mpango kando.